Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

mimi nilifumania SMS za jamaa amemmisi mpaka jamaa anaomba bibie wangu Amzalie mtoto,kumuuliza akapata hasira akaondoka
baadae ndo akarudi kuomba msamaha nilimwambia hatutaweza ishi pamoja tena.
maumivu yake acha kabisa huyu tulikuwa tunaishi mke na mume na tulikuwa na mtoto tayali.
 
Kusalitiwa inauma sana maumivu makali hata akiomba msamaha unamsamehe basi tu lakini akili haipo kwake tena
 
mimi nilifumania SMS za jamaa amemmisi mpaka jamaa anaomba bibie wangu Amzalie mtoto,kumuuliza akapata hasira akaondoka
baadae ndo akarudi kuomba msamaha nilimwambia hatutaweza ishi pamoja tena.
maumivu yake acha kabisa huyu tulikuwa tunaishi mke na mume na tulikuwa na mtoto tayali.
Dub hatari....so huyo mtoto umwpima dna isje kuwa ni bao la mwanaume mwenzio
 
Sio kweli sijapata hiyo bahat na ikitokea nimepata Nina utulivu sana nakuacha Kwa heshima bila kukurahibia Kwa huyo mwingine akale maisha vizuri 😃
Sasa unaachaje deliboloz lako...lazima ulipambanie...hamna mwanaume wako peke yako u have to fight aise....usikae kizembe
 
hivi unajuaje umempenda mtu kuna mtoto wa mtu anasumbulia akili najiuliza nampenda au ndio nimemtamani
Kila mtu ana namna anavofeel kujua amempenda au lah wanaume Huwa mnatamni kwanza mnakuja kupenda badae muda unavokwenda
But mm kujua mtu nampenda ninavojisikia nikiwa nae,Huwa najali sana na kumuwaza sana hapo najuaga nimekwama
 
Nishasaliti na kusalitiwa sana tu na tunaendelea kama kawaida, sometimes wote tunajua tunasalitiana tunazinguana ila zikipanda ni simu moja tu.
#Hayo ni ya chuoni.

Mtaani sasa, kuna dem alinitongoza mwenyewe (mrangi) nikamuuliza vp kuhusu jamaa (mpenz wake, nlikuwa namfaham) akasema washaachana nikasema fresh tu, tumedate kama miezi miwili siku moja nikamchek na msela mwingine tofauti na yule ex wake nikakausha, siku nyingine namchek anatoka kwenye getto la ex wake kumuuliza alinijibu kihuni tu 'Najua huna mpango wa kunioa ila I like the way you are (ila napenda jinsi ulivyo) nilichofanya ni kujiongeza tu, mechi ziendelee.
 
Sasa unaachaje deliboloz lako...lazima ulipambanie...hamna mwanaume wako peke yako u have to fight aise....usikae kizembe
Actually Nina wivu na ninajitihada kutamni mtu atulie ila ikishindikana bas awe na adabu kidogo nisijue kumfumania maana yake kanivua vyeo vyote kwanza why nimfumanie asifiche ujinga wake
 
Ebu mgegede mara tatu kama bado mzuri machoni pako basi huyo umempenda
[emoji1787] ni katoto ka2000 mpaka shikamoo napewa haha ngoja nije nikafanyie hivo make kana msambwanda hatari sema mkuu nasita maana nikainnocent sana nikimwambie me sina future na wewe tuachane tu ataliaa wee atalia macho mekundu, ataniomba nimsamehe mwanzoni alikua anagoma kula tunda eti hadi ndoa ila akakubali ili nisimuache nampigia hesabu za kumchana b!kra
 
Back
Top Bottom