Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu inauma sana japo tunajifariji humu eti kuchapiwa kawaida, hamna ukawaida wowote tunajikaza tu kisabuni(simaanishi mambo yale ya sabuni haha)
kuchapiwa kunauma sana kunauma hatari yani ukikumbuka unahisi kama upanga wa moto unapenyezwa moyo, unajikaza tu maana maisha inabidi yaendelee.
1. Umewahi kusalitiwa na mpenzi wako, ilikuaje?
2. Unaweza kumwamini tena mpenziwako uliemfumania?
3. Bila kujali mmeachana au mmerudiana, jeraha la kusalitiwa limepona au bado unaugulia kwa ndani?
"Is it better to have had a good thing(or person) and lost it, or never to have had it?
- Our Mutual Friend, Charles Dickens
Cc:

Cc: Mapenzi
Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu
Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...