Kuna jamaa yangu, kipindi Hiko nasoma SAUT
Alikuwa ni kama mdogo angu, ukizingatia nilimtangulia mwaka mmoja na hostel alipofikia Mimi ndo nilikuwa msimamizi wa hostel.
Basi bhana, siku moja akaja na rafiki zake wakike! Nikatokea kumuelewa mmoja!
Enzi hizo Bado Kijana, 😂 nikaamfukuzia yule manzi ila akanipa masharti, niache pombe ndo atanikubali! ... Sikuacha na alinikubali
Ila ki ukweli yule manzi alinisaidia Mimi kubadilika kitabia ... Sasa penzi likawa yanta yanta!
Ila si unajua kama watu wa pwani walinavyosema, kifimbo kikisimama hakiwezi kulala bila kucheza 😂.
Sasa nikashangaa yule manzi angu, anajua Kila ufuksa ninaofanya hasa akienda likizo! Nikasema ni nani huyu anavujisha Siri za Kambi?
Siku moja nikamwita dogo, tukaenda kunywa Kisha nikampa story ya uwongo juu ya yule manzi! Ambayo sikumpa mtu yoyote zaidi yake
😂 Asubuhi tu manzi anasema naskia ulisema Moja mbili tatu ... Nikamwambia nani kakwambia? Akagoma kusema!
Nikajua huyu dogo ndo frijii bovu langu.