NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ?
Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha.
uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na jamaa wa uswahilini anaendesha life lake kigeto geto
shuhuda kutoka kwa wadau
Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha.
uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na jamaa wa uswahilini anaendesha life lake kigeto geto
shuhuda kutoka kwa wadau
Ilinikuta hiyo.
Manzi nilikutana nayo coco beach, kipindi hiko pako hot sana. Ikaomba tuogelee wote, tukapiga mawimbi baadae nikaipotezea kwenda kubarizi ufukweni. Kumbe alikua ananifata nyuma nyuma. Tukakaa wote kwenye majani akaanza kujiongelesha vitu vingi vingi mm sina habari namjibu short and clear.
Mwisho nikaja kujua kama anakaa mtaa wa nyuma tu pale masaki, na ilikua amerudi likizo alikua anasoma form 6 huko peramiho girls. Akaniandikia namba yake ktk kikaratasi. Nikamwambia naishi kigetto getto kimara bonyokwa, nilishamalizaga chuo naskilizia michongo ya kazi ila kimaisha naunga unga sana. Tukaanza chatting ktk simu baadae akajitongozesha mwenyewe mwisho akawa demu wangu.
Alikua anaibuka maskani anapika pika, sometimes anatimba na misosi yao ya ushuani tunakula. Masela kitaa walikua wanagwaya sana. Pisi zilizokua zinaniletea miyeyu pale street zikaanza kuleta shobo mimi sina habari, uso wa mbuzi.
Dini zikaja kutuachanisha na kwao hawakutaka aolewe na mtu wa tofauti na dini yake. Imebaki story now!