Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Siku ingine usitoe papuchi yako kwaabaradhuli kama hao sawa! !



Mimi sipo hivyo hata.
Unapiga kona mwenyewe unafunga mwenyewe
Kama kichuya vileee
 
Siku ingine usitoe papuchi yako kwaabaradhuli kama hao sawa! !



Mimi sipo hivyo hata.
Haupo hyo nyuma ya keyboard siyo[emoji41] [emoji41] ttzo mabazazi hayana alama,mkiwa mnakutanisha vikojoleo mnasahau yte!!![emoji4] [emoji4]
 
Unapiga kona mwenyewe unafunga mwenyewe
Kama kichuya vileee
Hahaha...nina eksipiriensi mzee mwenzangu nafinya kama nagawa halafu naichonga kama shiji kagawa
Haupo hyo nyuma ya keyboard siyo[emoji41] [emoji41] ttzo mabazazi hayana alama,mkiwa mnakutanisha vikojoleo mnasahau yte!!![emoji4] [emoji4]
 
Mbona hakuna cha kutisha hapo aisee.....kumbe hata yale mazoezi ya skauti magumu kuliko hicho ulichokiona amaizing..

.kulala sakafuni kiubavu....
 
Ukiingizwa mule ndani kwa Mara ya kwanza, kwanza kabisa utasimama kwasababu mbili, moja unadhani mapoti wanakutania watakutoa muda wowote, kitu cha pili kinyaa ile sakafu pale chini Mungu ndio anajua. kwahalihiyo lazima usimame kidogo lkn kadri muda unavyoenda utakaa tu mwenyewe
Halafu wadudu km kunguni, chawa, panya mende wapo wengi sana
Usiku ndio balaa maana huwezi kulala asee ile sakafu haijasakafiwa vyema vikokoto vimetokeza sasa vinakuwa vya baridi
Kiufupi ni bora upelekwe magereza kuliko kituo cha police sio maskhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…