Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Mimi nimeishi bakta na machalii zangu tunachanja veve na kumoka daily so zile kukimbizana na mapai ilikua ile sana tu daily fasi ya kitaa, masela zangu wengi sana wamedakwa wamelala kituo cha mbauda pale na central Arusha ila mimi Mungu aliniepusha sijawahi dakwa hata siku moja japo tukimbizana nao ni mara kibao tu sema ile degree ya mtaa inasave maana ukila chocho kwa chocho unawapoteza mapai.. Siku hizi nakaa daslam nimemiss lile life la bakta mbayaa dar huku masharo wengi hamna kitu wanajua ni mamanzi tu na viepe yai..
 
Nakumbuka kaunta zao zilivyo kama pub za uswahilini, hv hawauzi bia pale [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanakuja mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cjui umefikiria nn!!
 
Kwa sero sio rahisi ila ukifungwa gerezani ukiwa mlegevu lazima wababe wakule wakufanyie, ila ukiwa mbishi nao wanaanya
na siku yakwanza ndiyo wa kutest ukakamavu wako, kwahiyo si wote wanaotoka jela wamevunjiwa yai?
 
Oya mwana kwani nini issue? aah nimetanua!? ulikuwa na bajaj? aah no private! ,aah kudadeki nyie wa,nge ndo mnaleta nuksi humu geto
 
Mm niliingia siku moja, nikajifanya km mpelelezi mbona walikoma mana nilikuwa sina wasiwasi alaf niwahoji wote waliokuwa mle ndani mpk polisi wakaanza kuwa na wasiwasi, kosa walinikuta lounge nje usiku wa manane, mbona waliniacha
 
Wanakuja mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cjui umefikiria nn!!
Dah! Tena ukisikia kuna kama vile havitumiki nistue nikavinunue nifungue Pub gharama viti virefu tu, pale bia zinanyweka raha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mm niliingia siku moja, nikajifanya km mpelelezi mbona walikoma mana nilikuwa sina wasiwasi alaf niwahoji wote waliokuwa mle ndani mpk polisi wakaanza kuwa na wasiwasi, kosa walinikuta lounge nje usiku wa manane, mbona waliniacha
Wacha weee.....umemaliza homework ya hisabati?
 
Dah! Tena ukisikia kuna kama vile havitumiki nistue nikavinunue nifungue Pub gharama viti virefu tu, pale bia zinanyweka raha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] yaani zile ni kaunta kbsa ucjali mkuu pa1 nikipata wanayokodisha ntakucheki!!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom