Mmh enzi gani hizo ilikua mbeke?hahah doo umenikusha enzi zile la mbekee sio mbege hahah
ni stori ndefu enzi hizo tunasoma old moshi, w/end ukiingia mitaa unarudi swafi. si unajua hii pombe sioMmh enzi gani hizo ilikua mbeke?
Hahaha bado hujapata??Mmh mbona sijamwona...ningempa ofa ya mbege!
Hahah aise naona mmeingia external service hahah
Haidoma?
Plse njiwa nenda haraka kwa upole kwa AD, mwambie yote nilikueleza kwake, tell her kwa upole sana, arudi homeView attachment 19923
Si nasikia wanasema, 50s ndio new 20s, she really look young!
Mmh enzi gani hizo ilikua mbeke?
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.hahahah lol
kumbe na we unajua kiluga lol
na we ni wakipande hiki cha Manyara lol??
si unajua vijana wa siku nyingi tena hahahahmmmhh hili swali hatari..
ngoja akwambie hapo zamni za kale....lol
lawayok ako..
Muruhi haaa..
aaa awakii oor bokhai???
hahah don't worry, just love ur self and everything will be OK hahah LOLyeah i like her..
naogopa kinyume cha haya maneno lol "wanasema, 50s ndio new 20s,"
hahah lol
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.
But she taught me a few words like
ako, desi, laway, khwante, naamis hahah, I have lost most of them now hahah
may be you can take over from there hahah LOL
Keep on doing your thing man............. just be happyWoooowwwwwww u make me laugh, how do you know these, so u know what i am telling her? mmmmhh GFM, oooohhh GodView attachment 19926
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.
But she taught me a few words like
ako, desi, laway, khwante, naamis hahah, I have lost most of them now hahah
may be you can take over from there hahah LOL
but why? hujakulia nyumbani au ndio ile ya kusahau lugha ukiwa nje hahahhahahahhaah lol
mmmhh we mwanafunzi mzuri sana ...lol
haya mie niko tayari ingawa ntachemsha mara nyingi lol
Keep on doing your thing man............. just be happy