Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

mmmh now im looking forward..
order hiyo nyama choma..
tuanze na konyagi kwanza
kabla hatujaingilia ya wanzungu..
mmmhhh cant wait :car::car:
Ya kuchoma au Kurost? nimeshaonge na masawe anaandaa!
Ushajaribu mixer ya Konyagi na RED Bull? ndo nakuandalia leo...
 

life is to short...
u might as well go in every pub
in ur area hahaha lol:car:
 
Ya kuchoma au Kurost? nimeshaonge na masawe anaandaa!
Ushajaribu mixer ya Konyagi na RED Bull? ndo nakuandalia leo...

mmmhh mie napenda ya kuchoma..
hapo kwenye konyagi na Red Bull mmhh
hiyo makini sana tena sana yaanii

konyangi inakuchakachua
Red Bull ina ku keep awake..
kwa hiyo hakuna kulala mpka kieleweke..
 
Smiles, Afrodenzi?? Heart breaker kumbe mko wengi humu???

mmhh
Dunia hii ya shidaaa
siku moja tutaiacha na shida zake zoteeeee

tutasahau tabuuuu
tulizozipata katika duniaaa
hii ya shida...
 
Kwanza naomba urudishe ile avatar haraka....Me like them boobs!!
Mlizi yupo....usihofu kabsaa, hapa nilikua nasaidia tu mpaka Digidigi aamke...
Am your Protector...you know me better bana!

Mmh....hapo sina uhakika sana!!
Afu ile nyingine nimepeleka dry cleaner.....ikirudi tuu nairudishia!!! sawa eeh....
 
Huna chako hapo mama!!!

Orait....cha muhimu hapa ni kuangalia utaratibu wa kupata another 'protector'
You will be my advisor.....kama hutajali!!
nawasiliana na katibu, mwenyekiti na mweka hazina for emergency meeting!!
 
Smiles, Afrodenzi?? Heart breaker kumbe mko wengi humu???
Nani kakwambia......kwani mie mutu mweupe?
mmmhh mie napenda ya kuchoma..
hapo kwenye konyagi na Red Bull mmhh
hiyo makini sana tena sana yaanii

konyangi inakuchakachua
Red Bull ina ku keep awake..
kwa hiyo hakuna kulala mpka kieleweke..
hahahaha hii mixer ni balaa utaifurahia.....habari yake utaipata kesho yake lol
afadhali hata we ume mkumbuka mama watoto wako ...lol
Am missing her!:A S-heart-2:
 
Orait....cha muhimu hapa ni kuangalia utaratibu wa kupata another 'protector'
You will be my advisor.....kama hutajali!!
nawasiliana na katibu, mwenyekiti na mweka hazina for emergency meeting!!
Hata barua ya Onyo hakuna? Smiles don't do me....You know I will miss your smile!!
 
Orait....cha muhimu hapa ni kuangalia utaratibu wa kupata another 'protector'
You will be my advisor.....kama hutajali!!
nawasiliana na katibu, mwenyekiti na mweka hazina for emergency meeting!!

Niko very closely to you my dear TF hafai ni wa kumwacha kaja na sound eti password kuna mtu kaiba wakati yupo via mobile??
 
Nani kakwambia......kwani mie mutu mweupe?

hahahaha hii mixer ni balaa utaifurahia.....habari yake utaipata kesho yake lol

Am missing her!:A S-heart-2:

Mtu wa maji ya kunde ni kama mweupe tuuuuuuuuuu Acha ubishi ushaachwa tunaitisha kikao cha dharura tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…