Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

GFM nasikia umempa bei kubwa sana ya tuition mpaka kaogopa kakimbia hataki tena tuition yako

hahahahah lol
hii lugha gali sana dada yangu...
ni kati ya lugha ambazo si za kibantu..
kwa hiyo kama hana hela basi atafute njia nyingine ya kunifurahisha hahahah lol
 
Hizi signecha mmeshafikia muafaka?

mmmhh babu
hii ndo nini tena
Makwenzi kwa watoto, Ngumi kwa wakubwa:israel::israel::israel:
Test... test 112! Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
 
hahahahah lol
hii lugha gali sana dada yangu...
ni kati ya lugha ambazo si za kibantu..
kwa hiyo kama hana hela basi atafute njia nyingine ya kunifurahisha hahahah lol

Hii mbona rahisi sana?? Ungemwambia sasa shida yako unaona haya
 
mmmhh sinilidhani TF bado ananipenda ndo maana nikashindwa kumueleza hahaha lol
nipe ushauri dada yangu..:Cry::Cry::Cry:

Mweleze live usiogope kwanza anajua mila za home. TF achana nae kabisa hafai hata kwa lolote acha kabisa tena timka kwa mbali
 
hapa leo nini kinaongelewa? naona muda wa kwenda counter ya juu umefika ...na kesho ckukuuu bia itapata habari yake! Afro vp leo utakuja counter au? Wapi digidigi?
 
Akisikia hilo swali atazimia maana amemkamata akichakachua kuleee kwa majina ya wasichana!!
 
hapa leo nini kinaongelewa? naona muda wa kwenda counter ya juu umefika ...na kesho ckukuuu bia itapata habari yake! Afro vp leo utakuja counter au? Wapi digidigi?

mmmhh hapa leo ni habari mchanganyiko tu..
hii ni new chatroom lol

haya we nenda counter ya juu wasalimie huku
mie sije tena..

sina hamu nimegundua TF wangu hanitaki siku hizi sababu anamtu mwingine..
mie sina hamu acha nijikalie hapa nyumbani ..
dunia chungu sana hii..
mmhhhh:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
Mweleze live usiogope kwanza anajua mila za home. TF achana nae kabisa hafai hata kwa lolote acha kabisa tena timka kwa mbali

mmmhh lakini hay amapenzi dada yangu..
mie nimempenda kwa dhati..
kila takalo nafanya na zaidi ..
jamani sina hamu kabisa...:Cry:
 
mmmhh hapa leo ni habari mchanganyiko tu..
hii ni new chatroom lol

haya we nenda counter ya juu wasalimie huku
mie sije tena..

sina hamu nimegundua TF wangu hanitaki siku hizi sababu anamtu mwingine..
mie sina hamu acha nijikalie hapa nyumbani ..
dunia chungu sana hii..
mmhhhh:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:

Unampenda kumbe bado??
Ngoja aje na sound kubwaaa utalegea mwenyewe ha ha ha ha mie simooooooooo
 
mmmhh hapa leo ni habari mchanganyiko tu..
hii ni new chatroom lol

haya we nenda counter ya juu wasalimie huku
mie sije tena..

sina hamu nimegundua TF wangu hanitaki siku hizi sababu anamtu mwingine..
mie sina hamu acha nijikalie hapa nyumbani ..
dunia chungu sana hii..
mmhhhh:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
We njooo utoe machungu bana leo nimekuandalia Tikila na Balantine..
hapo kwenye Blue kuna mmasai hua anapitaga itabidi tununue limbwata tumuwekee digidigi akupende wewe tu....
 
Back
Top Bottom