Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

sasa AD unaanza kunichanganya, please dont do that
i am hopeless, and i read your signature... i love it
but now going to shawshank... tell me am dreaming

please dont tell me you know this song... "ocean deep" by sir cliff richard


hahah shawshank "put ur faith in the Lord ur ass belong to me, welcome to shawshank "

mmhh huo wimbo wa Cliff Richard unanikumbusha mama yangu kwa kweli..
"A little love is all i ask "
 
haya wapenda mie ndo hyo naenda ku lala..
leo nimemaliza siku vizuri sana asnte MUngu..
mmhhh na JF....

TF nimefurahi sana kukuona tena kipenzi changu
Acid asante kwa kuni kumbisha mbali na Cliff Richard..

God Bless all u good people..
and AD Loves u all
peace
im out...:car:
 
hahah shawshank "put ur faith in the Lord ur ass belong to me, welcome to shawshank "

mmhh huo wimbo wa Cliff Richard unanikumbusha mama yangu kwa kweli..
"A little love is all i ask "
I am speechless AD.... speechless indeed

Gademu!!
 
mmmhhh afadhani hata umerudi mume wangu..
pole sana na safari..
twende tuka relax kwenye jakuzi
ngoja nilete wine..
mmmhh nataka kusikia kuhusu safari ...
kwa kweli nime kumiss sana kipenzi changu ....

Wahome kumbe umeolewa??? Shemeji ukija umlete nimpe mangureee na busaa
 
Wahome kumbe umeolewa??? Shemeji ukija umlete nimpe mangureee na busaa

mmmmhh
huyu shemeji yako ando fundi wa kutengeneza
nimemfundisha vizuri sana...:smile-big:
hahahha lol Ga khoe desii hahahha lol
 
salama tu siju wewe na asubuhi hii yote, chai umekunywa kweli hahah
 
mmmhh bado hata
nimekuja kuaangalia tu nini kinachemka huku..
hhahaha lol
shauri yako wenzio tushakula lunch
tunakaribia kwenda mitaani sasa kuangalia
busaa na puree, na makonki hahah
 
shauri yako wenzio tushakula lunch
tunakaribia kwenda mitaani sasa kuangalia
busaa na buree, na makonki hahah

hahahahah lol
kwa kweli umenifurahisha san yaani tena sa

maana vijana wa kiiraq wengi wakisha kula
utapata matokeo mawili tu
kulala au kuzurura
hahahah lol😛arty:
 
hahahahah lol
kwa kweli umenifurahisha san yaani tena sa

maana vijana wa kiiraq wengi wakisha kula
utapata matokeo mawili tu
kulala au kuzurura
hahahah lol😛arty:
glad umecheka.............. mie ndo naishia hivyo,
kesho tena..............hahah
 
Back
Top Bottom