Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Dah umenikumbusha likizo kweli kwanteeee??? GFM na wewe wa home nini???
Aaa kuna dadaako alinipenda akanifundisha mengi ila sasa nimesahau
Najaribu kumwomba AD anifundishe lakini naona bei ya tuition iko
juu kweli......ngoja nitafute sponsor maana nimeanza kumiss
manguree
 
Ha ha ha ha kwa hiyo ulimtosa mdogo wangu?/ Hufai kumbe eehh!! Ila Manguree inashibisha alooo ukinywa huli kwantee kabisa
 
Alimtosa bwana, nilikuwa mzito wa lugha na nyie mkikuta lazima muende external service
yakanishinda nikaachia ngazi hahah
 
Pole external muhimu. Duh haya unaye wa wapi tena??
 
Ha ha ha ha kwa hiyo ulimtosa mdogo wangu?/ Hufai kumbe eehh!! Ila Manguree inashibisha alooo ukinywa huli kwantee kabisa

Kinywaji cha kawaida ni busa. Mimi nadhani mangware' is a more ceremonial drink. Dena Amsi atatupa nasaha.
 
Wahome upo?? Sayitaaa??!!! Sasa si ndo maana nikasema manguree inashibisha maana mie nilikunywa christmas nikasepa mjini. Uko wapi halafu mbona ulipotea sana network shida nini??
 
PUSH, what an acronym? Is one of the signatures which I appreciate.

During the Christmas and New Year holidays, I was in Masiyeda Area, where there is no network.
 
Pole sana nilijua. Ha ha ha umependa signature yangu Thanks
 
shikamoo dada..
naona unaendeleza chatroom fresh
asante..
zakushinda..
shemu wangu anaendeleaje???

Marahaba!!
Hatimaye umeamka poa
Mie nikiahidi kitu lazima nitekeleze
Lakini huyo mumeo sijamuona sijui kanishit hataki kunipa support
BE kajaa tele hana maneno si unajua alivyo mpole??
 
mie ndo nimetka kazini lol
mmhhh nakwambia TF simtaki tena...
nimemwona kule kwenye "majina ya wasichana"
anamchakachua mtu mwingine....
kuanzia sasa niko single.
 
Mbona mie sijaona ngoja nikaangalie kachakachua infiii???
 
Back
Top Bottom