Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

sasa mamy unataka tuingiliane kwenye sket?yy kaja kasema huko atokako shida na tabu zimejaa na mm nimepewa bureeeee kwann nisimpe faraja ya moyo?
Kuna mtu alikuwa anatumia Id yangu baada ya kuniibia pasiwedi yangu
 
sasa mamy unataka tuingiliane kwenye sket?yy kaja kasema huko atokako shida na tabu zimejaa na mm nimepewa bureeeee kwann nisimpe faraja ya moyo?

mmhhhhh kwa kweli napenda jinsi mnavyo danganyana..
mie nawatakia kila la kheri ntakaaa kwa pembeni niaangalie
nani atatoka bila viatu humo ndani...

mmmhh ilimradi watoto wangu wale walale sehemu nzuri..
mmmhh mie siwaonei wivu...
ila najua mnadanganyana..

tangu lini mtu wenye watoto na mke kaja kwako anataka kukuonyeshea mapenzi ya dhatii..
hakuna lolote..
anataka kukuinamisha tu..
na kufurahisha mdudu wake....
hahaha lol yangu macho...
 
:nono::nono::nono:
Nawasubiri viongozi wanipe emergency protocol...........

namna hiyo smiles....unoko muhimu...btw, the st. luvs the new smiles more!
 
unakosea sana mke mwenza!wanao na yy watakula,kunywa na kulala vizuri usiwe na shida,mm niko kikazi zaidi lkn naona mwenzangu yuko kimapenzi zaidi,nshakuambia take my words am here to accmplish a mission only,nikipata changu nasepa.
 
huyo achana nae is it me or her?password imeibiwa sawa kwani na ww umeibiwa?au sema tu IT WASNT U
Hebu ngojeni kwanza nimtafute huyu aliyekuwa anatumia ID aje ajibu mashtaka hapa
 
Pearl, Dena, Afro
mmmmmh,
hebu niache umbea mimi mtoto wa kiume,
kwani yanahu..............!!!!!!
ngoja nisepe mie,sitaki kushuhudia ugomvi!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…