afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
Namtafuta huyu aliyekuwa anatumia id yangu bado sijampata
mmmhhh haya kama unadai kuna mtu aliiba password yako..
naomba weye baba watoto jibu swali hili
nataka jibu moja tu...
unampenda nani kimapenzi Pearl au Afrodenzi...??? ( jina moja tu kati ya hayo mawili)