afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
Hivi uliulizaje tena today i didn't carry my glasses so i cant see properly
mara ya mwisho hii...
unampenda nani kimapenzi kati ya hawa wawili Pearl au Afrodenzi..
jibu linatakiwa moja tu...
na tafadhali usikate kona
na usipojibu mie ndo huyo nakuachia mazima..