Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

ah ah ah ukoko ni mtam sana hasa ukiweka mchuzi kidogo tu basi unakuwa lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mmmmhh nadhani wanaongea wanijibu vipi....
mie hata sina pressure jibu lolote tu walete....
nimesha kula vya kutosha na mwacha ye amalizie makombo na kuosha vyombo..
 
ah ah ah ukoko ni mtam sana hasa ukiweka mchuzi kidogo tu basi unakuwa lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

mmmhh bibi hakuna ch ukoko hapo hiyo ni miba ya samaki tumeitupa kwenye sufuria..
mmmhh chunga usije kuchomwa...
 
Napitipitia vifungu vya sheria ili tuweke mambo sawa hapa!

hivi nyie mi siwaelewi..
shera za nini tu ..
huyu kaulizwa anamtaka nani kimapenzi Pearl au Afrodenzi..
jibu ni moja tu hapo..
sijui mnahangaika nini na kupoteza hizo hela zote..

mie jibu lolote halita nidhuru anijibu tu..
 
Mjukuu nakuona unachungulia hebu tupe busara yako hapa....naona Afro anaweza kuvunjwa moyo uliovunjika hapa!!
 
Mjukuu nakuona unachungulia hebu tupe busara yako hapa....naona Afro anaweza kuvunjwa moyo uliovunjika hapa!!
I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
 
Afrodenzi.......my dear!! twendzetu tukale gudtime....
achana na hao wataku-frustrate tuu bila mpango....
nakusubiri hapa nje...sawa mamie?
 
Afrodenzi.......my dear!! twendzetu tukale gudtime....
achana na hao wataku-frustrate tuu bila mpango....
nakusubiri hapa nje...sawa mamie?

haya bibie nakuja:car::car:
asante mwaya..
 
Back
Top Bottom