Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
haya bibie nakuja:car::car:
asante mwaya..
Wahome jibu limepatikana????
haya bibie nakuja:car::car:
asante mwaya..
Wahome jibu limepatikana????
Habari zenyu?
nimekuja nimekuja Dena, Kimey na smiles mpo wapendwa ??
nini tena kinaendelea hapa kwenye chat room
Wengine wote hawaonekani kuna chat room mpya kaangalie kulee "Hii imekaaje wapendwa""
Halafu wewe houseboy ushamtimua au badooooo??? Na kwanini unatoroka toroka kiasi hicho??? Wahome vipi bwana???
ah ah ah ukoko ni mtam sana hasa ukiweka mchuzi kidogo tu basi unakuwa lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tena uwe wa kwanteeee??? Hutamani tena mikate wala maandazi
mi najiwakilisha!
Dah!!!!