Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Nipo via mobile nakugonge hapa hapa Thanx. umeniweka bench ila najua unajua mi ni super sub. Ukitoa Masa unaweka Kimey
 
Nipo via mobile nakugonge hapa hapa Thanx. umeniweka bench ila najua unajua mi ni super sub. Ukitoa Masa unaweka Kimey
asante ee mtoto mzuri ahahah lol
kimey
siwezikuweka bench
upo dear ....

The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
asante ee mtoto mzuri ahahah lol
kimey
siwezikuweka bench
upo dear ....

The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
Nipo dia hahaha c umeniweka no. 12 hiyo direct ni bench lol!
 
Jamani ina maana hakuna aliyependa hii ya kwangu! Nyie wabaya kama Said Mwema.
 
Nipo dia hahaha c umeniweka no. 12 hiyo direct ni bench lol!

hahahah lol
mmmhh uzuri sijakusahau ...lol
naona counter ya juu imeanza kwenda juu zaidi ya juu hahahahh lol
 
Ahsante sana AD,

Sasa ulikuwa unawaza nini na wakati huo unafanya nini hadi ukaja na hii kitu? Mhhhh kwa kweli hapo mjukuu wangu umenitisha.

Nawatakia nyote wk end njema. Naona mwaka tunausogeza taratibu,

Babu DC
 
Hamna shida babu....
nilikuwa nasoma tu signature za watu
basi nikona tutoe appreciation zetu kwa ambao wanatembea hatua zaidi..
wako weengi sana na sijaweza wataja wote ndo maana nikaomba tusaidiane kuleta hizo signature
nyingine hapa na wao tuwashukuru...

nway na mie pia nakutakia weekend njeama kabisa
msalimie sana bibi...
 
Afro karibu counter ya juu bibie tuchakachue hii weekend bana! Naona The Finest anakutelekeza cku izi! Karibu bana! Its not "for a long jump"!lol
 
Afro karibu counter ya juu bibie tuchakachue hii weekend bana! Naona The Finest anakutelekeza cku izi! Karibu bana! Its not "for a long jump"!lol

hahahahahah lol
mmmmhhhhh afadhali hata kuna ambaye anajua AD anahitaji company..
mie TF kaniacha mazima siku hizi .....
haya ngoja nijipodoe nakuja ...
 
Take care....Angalia usalama kwanza, sawa AD? Don't drink and drive/cycle...if necessary, remember your helmet!!!
 
hahahahahah lol
mmmmhhhhh afadhali hata kuna ambaye anajua AD anahitaji company..
mie TF kaniacha mazima siku hizi .....
haya ngoja nijipodoe nakuja ...
Huyu digidigi anahitaji adhabu tu hawezi kutelekeza mrembo kama wewe asee! Ngoja nimwendee hewani aje hapa counter ya juu then tuyaongee tukiwa watatu! Jipodoe fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…