Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Katikati umepuyanga hakuna cha maagani wala nini! Umemaliza vizuri kabisa dhuluma sio nzuri!Kuna mtu alisogeza mpaka kama huyo jirani yako. akajenga nyumba, hayo mauza uza aliyokuwa anayapata alitamani kukimbia nyumba.
Akaleta wataalam wakamwambia kumbe kipande kidogo alichomega kwa jirani kilikuwa namaagano. yan kiwanja cha jirani kilikuwa kinalindwa na maagano sasa kitendo cha yeye kuhamishia sehemu kwake lazima asumbuke.
Dhuluma sio nzuri.
Dhuluma siyo kitu kizuri, naunga mkono hojaKuna mtu alisogeza mpaka kama huyo jirani yako. akajenga nyumba, hayo mauza uza aliyokuwa anayapata alitamani kukimbia nyumba.
Akaleta wataalam wakamwambia kumbe kipande kidogo alichomega kwa jirani kilikuwa namaagano. yan kiwanja cha jirani kilikuwa kinalindwa na maagano sasa kitendo cha yeye kuhamishia sehemu kwake lazima asumbuke.
Dhuluma sio nzuri.
Duh.... mlishindwa kutumia vyombo vya sheria mpate haki ? Jamaa mmempa ulemavuJamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Huu ujinga ndio inafanya ccm waendelee kututawala kwanini mnakua na huruma za kijinga kabisaDuh.... mlishindwa kutumia vyombo vya sheria mpate haki ? Jamaa mmempa ulemavu
Lipia tangazo! ๐Jamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Kwa kawaida kesi nyingi za ardhi ukizipeleka mahakamani mtasumbuana tu, na utaopoteza fedha nyingi jambo kubwa amua kutumia nyia za giza au usameheDuh.... mlishindwa kutumia vyombo vya sheria mpate haki ? Jamaa mmempa ulemavu
๐ Hamna tangazo hapoLipia tangazo! ๐
Mshukuru sana MunguHapana
Pole sana mkuuJiji la Dodoma ๐
Sitokuja kuwasahau nyinyi madalali wahuni mlionitapeli hela yangu kwa kuniuzia kiwanja chenye mgogoro, huku kampuni ya upimaji ikinithibitishia hakuna shida! Na mwanasheria naye akichukua 10% ya kuandaa mkataba! Ila baadaye ninakuja kugundua nimepigwa na kitu kizito kichwani.
Kumbe mkorofi ๐ ๐Mi mwenyewe ni mgogoro tosha aisee๐ค