Watu wengi walishapewa hizo siku saba na hakuna kilichotokea , hata hii itakua ni stori ya kutunga.Jamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Usikalili mkuuWatu wengi walishapewa hizo siku saba na hakuna kilichotokea , hata hii itakua ni stori ya kutunga.
Unadhani yeye alikuwa hajui kama kuna sheria? Tena ukute ndio alitegemea wataenda huko ili awasumbue zaidi kIsha aendelee kutapeli wengine. Walichofanya ni safi sanaDuh.... mlishindwa kutumia vyombo vya sheria mpate haki ? Jamaa mmempa ulemavu
Watu wanadhulika mzee,tena wengine wala hata sio kwa kuroga,itategemea tu aliyekupa hela kazipataje.Watu wengi walishapewa hizo siku saba na hakuna kilichotokea , hata hii itakua ni stori ya kutunga.
Hajajua kua hayo mambo yapo mwaka 2023 hapo mkuranga jamaa mmoja aliuliwa na vijana wenzake wakati mwili wa marehemu upo hospitali familia ya marehemu ikasema tutaanza kuwazika waliofanya tukio kabla ya kumzika ndugu yetu, hayakupita masaa hata matano watu wanasikia fulani na fulani walikua wawili wameangukiwa na ukuta wamesagika sana hawezi kusubiria maana miili imeharibika sana, watu walienda kuwafukia kabla ya ule mwili wa jamaa aliyeuliwa.Watu wanadhulika mzee,tena wengine wala hata sio kwa kuroga,itategemea tu aliyekupa hela kazipataje.
na hao wanaotoboa hizo siku sabau huwa wanapata nguvu ya kuendelea,mpaka siku ya kupewa siku 7 nyingine na mtu mwingine😂😂
Watu hawaamini ndumba kwakuwa tu hawajawahi kuona wanadhani ni hekaya.Hajajua kua hayo mambo yapo mwaka 2023 hapo mkuranga jamaa mmoja aliuliwa na vijana wenzake wakati mwili wa marehemu upo hospitali familia ya marehemu ikasema tutaanza kuwazika waliofanya tukio kabla ya kumzika ndugu yetu, hayakupita masaa hata matano watu wanasikia fulani na fulani walikua wawili wameangukiwa na ukuta wamesagika sana hawezi kusubiria maana miili imeharibika sana, watu walienda kuwafukia kabla ya ule mwili wa jamaa aliyeuliwa.
Sahihi kama mtu hajawahi kushuhudia hawezi kuamini ila yakimkuta ndio ataaminiWatu hawaamini ndumba kwakuwa tu hawajawahi kuona wanadhani ni hekaya.
Jamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Nipe connection mkuu, maana kuna mtaalamu ananidanganya tu kila sikuIlitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania
WAROGENI NA CCM BASI TUAMINI....Hajajua kua hayo mambo yapo mwaka 2023 hapo mkuranga jamaa mmoja aliuliwa na vijana wenzake wakati mwili wa marehemu upo hospitali familia ya marehemu ikasema tutaanza kuwazika waliofanya tukio kabla ya kumzika ndugu yetu, hayakupita masaa hata matano watu wanasikia fulani na fulani walikua wawili wameangukiwa na ukuta wamesagika sana hawezi kusubiria maana miili imeharibika sana, watu walienda kuwafukia kabla ya ule mwili wa jamaa aliyeuliwa.
😂😂😂🙈Kumbe mkorofi 😊 😃
Mgogoro ni ww mwenyewe?Mi mwenyewe ni mgogoro tosha aisee🤒
Yaan mi mwenyewe ni mgogoro tosha,sasa aniuzie kiwanja chenye mgogoro atakuwa anataka nini 🤒Mgogoro ni ww mwenyewe?
tufanye uchawi haupo mkuu...Mtu kama mimi na umri nilionao siamini kama kuna siku nitaona zaidi ya ninachoamini hivi sasa.
Mara nyingi haya mambo ya kichawi yamekua na muelekeo huu.
1: Zimekua ni stori za kihisia na dhana zaidi kuliko uhalisia
2: Yale mambo yanayotokea na kuhusishwa na uchawi,yote yamekua ni mambo halisi na yangetokea hata kama dhana hiyo ya uchawi isingehusishwa.
3: Wapo watu wengi waliojidhuru wenyewe kupitia imani hiyo ya kichawi kwa kushindwa kujimudu jinsi ya kufikiri na matokeo yake wamepata ajali au ugonjwa usioeleweka na hata kifo.
Migororo ya ardhi ni mibaya sana , mwaka 2016 nilinunua eneo sehem kulikuwa bado pori mji ndio unaelekea huko ss sikuweka mipaka vzuri nikazembea kwenda kuwa nakagua aisee majirani wakawa wanajimegea tu wanajiogeza kakabaki kembabaa.Yaan mi mwenyewe ni mgogoro tosha,sasa aniuzie kiwanja chenye mgogoro atakuwa anataka nini 🤒
Ni hatari sana,huwa wanajimegea taratibu Tena bila hofuMigororo ya ardhi ni mibaya sana , mwaka 2016 nilinunua eneo sehem kulikuwa bado pori mji ndio unaelekea huko ss sikuweka mipaka vzuri nikazembea kwenda kuwa nakagua aisee majirani wakawa wanajimegea tu wanajiogeza kakabaki kembabaa.
2024 nimekuja kupauza kwa hasara nikawaacha waendelee na maisha yao bhn maana ilikuwa full stress nikisogea eneo lile
Wanasema upo ila hata Mimi sijawahi kuushuhidia kwa macho yanguHIvi huo unaoitwa uchawi upo kweli ama story za kusadikika??