Mwingine sehemu aliniletea pigo za kwamba huu sio mpaka halisi kwamba mpaka wake ni kwenye miti hiyo iliyoko mpakani wkt yeye mwenyewe aliuziwa kiwanja kikiwa na miti tayari mpakani na alieniuzia hapo akaniambia mipaka ni hii miti( miarobaini)Ni hatari sana,huwa wanajimegea taratibu Tena bila hofu
BAADA YA YEYE KUWA KIPOFU ASIYEKUWA NA MIGUU,NYIE HIYO HELA MLIYOLIPIA KIWANJA ILIRUDI?Jamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
CCM ni taasisi hailogekiWAROGENI NA CCM BASI TUAMINI....
Muhimu ni kuweka fundisho kwa wengine wenye tabia ya kuchukua vya watuBAADA YA YEYE KUWA KIPOFU ASIYEKUWA NA MIGUU,NYIE HIYO HELA MLIYOLIPIA KIWANJA ILIRUDI?
AU KIWANJA KILIRUDI?
pole sanaMigororo ya ardhi ni mibaya sana , mwaka 2016 nilinunua eneo sehem kulikuwa bado pori mji ndio unaelekea huko ss sikuweka mipaka vzuri nikazembea kwenda kuwa nakagua aisee majirani wakawa wanajimegea tu wanajiogeza kakabaki kembabaa.
2024 nimekuja kupauza kwa hasara nikawaacha waendelee na maisha yao bhn maana ilikuwa full stress nikisogea eneo lile
Asante mkuupole sana
achana na hao wa taalam wa mjini, unakuta mtaalam anatumia smartphone ๐ nenda chimbo huko ndani ndani shinyanga, tabora, tumbatu n.kNipe connection mkuu, maana kuna mtaalamu ananidanganya tu kila siku
mkuu... huo ni mti wa aina gani?na ulikua ni mti wenye umri gani? ni sababu gani zilifanya uanguke? ulikatwa? mizizi yake yote ilitoka ardhini? ulipita muda gani toka uanguke au kung'oka na hali ya hewa ilikuwaje? ni Tabora sehemu gani na ilikua mwaka gani ili nifuatilie.tufanye uchawi haupo mkuu...
swali...
ni nini kilifanya mti mkavu uliokuwa umeanguka usimame tena huko tabora?
hili ni tukio halisi sijatunga.
Hata mkoloni alishindwa kulogwa ๐คฃWAROGENI NA CCM BASI TUAMINI....
mkuu... huo ni mti wa aina gani?na ulikua ni mti wenye umri gani? ni sababu gani zilifanya uanguke? ulikatwa? mizizi yake yote ilitoka ardhini? ulipita muda gani toka uanguke au kung'oka na hali ya hewa ilikuwaje? ni Tabora sehemu gani na ilikua mwaka gani ili nifuatilie.
Niliwahi kuambiwa Sumbawanga ni hatari kwa kuwa na wataalam wa kutuma radi, nilipofika huko vijijini na kuuliza swali hili na wao waliishia kuniambia hata wao wanasikia hivyo na ni vigumu kuwajua hao watu mpaka radi iue mtu ndio wataalam watakuambia aliyetuma ni nani๐
Kiongozi umesahau kuweka namba wateja tukutafute ๐นJamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Pacha Lamomy uki nidhulumu ujue naku nyongea ndumu๐ ๐Kuna mtu alisogeza mpaka kama huyo jirani yako. akajenga nyumba, hayo mauza uza aliyokuwa anayapata alitamani kukimbia nyumba.
Akaleta wataalam wakamwambia kumbe kipande kidogo alichomega kwa jirani kilikuwa namaagano. yan kiwanja cha jirani kilikuwa kinalindwa na maagano sasa kitendo cha yeye kuhamishia sehemu kwake lazima asumbuke.
Dhuluma sio nzuri.
Naunga mkono hoja yako, tuna kesi since 2023 na haija isha.Kwa kawaida kesi nyingi za ardhi ukizipeleka mahakamani mtasumbuana tu, na utaopoteza fedha nyingi jambo kubwa amua kutumia nyia za giza au usamehe
ahh wapi biti hizo, ka vipi tugawane mali kistaarabu Sasa๐๐ .๐น๐น๐น Nina uchawi mkali usijaribu utakwenda na maji..!!