Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

Nlipigwa chumba cha kupangisha tulilipishwa kodi watu 4
Mimi ndio nilifanikiwa kuingia wengine hadi kesho wanamtafuta mwenye nyumba na dalali ingawa wameshafariki
 
Niliuziwa kiwanja ambacho hakikuwa mali ya mhusika.

Nilimkamata, nikampeleka mpaka mahakamani na hakuna haki niliyopata.

Nikagundua TZ, utapeli ni biashara halali kabisa.
 
Nipeleke kwa huyo Mzee, Nimetapeliwa 17M pesa ya mkopo.
 
Nimesoma huu uzi nimegundua bora niweke fence kwenye viwanja kabla sijaua mtu.
Watu watakuja kuchungulia tu, then wanakitafutia mteja wanauza.

Unabaki mgogoro wewe na mnunuzi.

Kama mnunuzi na yeye ANAMJUA mtu, unakuwa umedhulumiwa.

Maana matapeli wote wa ardhi wanakula na polisi na mahakimu na kesi za madai huwa hazina nguvu yoyote.
 
Kwani JF Imefunguliwa lini?
Yaliwahi kunikita mara kadhaa, nilichojifunza usiwa na haraka sana kwenye unuhuzi. Chunguza hata Kwa kulipa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ