Usitegemee furaha ya mwenzio ndipo ufurahi.Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi.
Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona upande mwingine wa sarafu.
Alikuwa mchoyo wa muda, hisia, hata maneno ya faraja. Kila kitu kilikuwa ni lazima kimpendelee yeye kwanza, maamuzi yote yawe ni kuhusu kazi yake, ratiba yake hata chakula tulichokula kilitegemea anachotaka yeye. Nilipojaribu kueleza hisia zangu, alinipuuza au kunigeuzia maneno, akinifanya nijihisi kama mzigo.
Mwisho wa siku, niligundua kuwa mapenzi si ya mtu mmoja tu. Nilipoondoka, nilihisi huzuni lakini pia wepesi wa ajabu nilikuwa huru.
Tangu hapo, nimejifunza kuwa ukarimu kwenye uhusiano hauhusishi pesa pekee, bali pia moyo wa kugawana kila kitu kuanzia furaha hadi majonzi
Wewe ni KE au ME?Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi.
Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona upande mwingine wa sarafu.
Alikuwa mchoyo wa muda, hisia, hata maneno ya faraja. Kila kitu kilikuwa ni lazima kimpendelee yeye kwanza, maamuzi yote yawe ni kuhusu kazi yake, ratiba yake hata chakula tulichokula kilitegemea anachotaka yeye. Nilipojaribu kueleza hisia zangu, alinipuuza au kunigeuzia maneno, akinifanya nijihisi kama mzigo.
Mwisho wa siku, niligundua kuwa mapenzi si ya mtu mmoja tu. Nilipoondoka, nilihisi huzuni lakini pia wepesi wa ajabu nilikuwa huru.
Tangu hapo, nimejifunza kuwa ukarimu kwenye uhusiano hauhusishi pesa pekee, bali pia moyo wa kugawana kila kitu kuanzia furaha hadi majonzi
Mwanamke anataka muda wako,pesa yako,mapenzi yako na roho yako. "Wiki za mwanzo zilikuwa tamu, zawadi ndogo dogo, vimeseji vya asubuhi" mwanamke mwema aliyeandikwa kwenye biblia ni mpambanaji,mwenye upendo Kwa mumewe na wa jamaa zake, huyu mwanamke hapatikani karne hii na zijazo.Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi.
Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona upande mwingine wa sarafu.
Alikuwa mchoyo wa muda, hisia, hata maneno ya faraja. Kila kitu kilikuwa ni lazima kimpendelee yeye kwanza, maamuzi yote yawe ni kuhusu kazi yake, ratiba yake hata chakula tulichokula kilitegemea anachotaka yeye. Nilipojaribu kueleza hisia zangu, alinipuuza au kunigeuzia maneno, akinifanya nijihisi kama mzigo.
Mwisho wa siku, niligundua kuwa mapenzi si ya mtu mmoja tu. Nilipoondoka, nilihisi huzuni lakini pia wepesi wa ajabu nilikuwa huru.
Tangu hapo, nimejifunza kuwa ukarimu kwenye uhusiano hauhusishi pesa pekee, bali pia moyo wa kugawana kila kitu kuanzia furaha hadi majonzi
Aposto kuna muujiza😁😁😁Ni hayawani kabisa, unaweza kudhani ni kama story ila dem wa hivi nishakutana nae nilikimbia kama Kipchoge
Atakukumbuka sanaTulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi.
Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona upande mwingine wa sarafu.
Alikuwa mchoyo wa muda, hisia, hata maneno ya faraja. Kila kitu kilikuwa ni lazima kimpendelee yeye kwanza, maamuzi yote yawe ni kuhusu kazi yake, ratiba yake hata chakula tulichokula kilitegemea anachotaka yeye. Nilipojaribu kueleza hisia zangu, alinipuuza au kunigeuzia maneno, akinifanya nijihisi kama mzigo.
Mwisho wa siku, niligundua kuwa mapenzi si ya mtu mmoja tu. Nilipoondoka, nilihisi huzuni lakini pia wepesi wa ajabu nilikuwa huru.
Tangu hapo, nimejifunza kuwa ukarimu kwenye uhusiano hauhusishi pesa pekee, bali pia moyo wa kugawana kila kitu kuanzia furaha hadi majonzi
BWANA kaniambia unipe laki6 🙂Aposto kuna muujiza
ndani ya siku moja uliombaTulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi.
Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona upande mwingine wa sarafu.
Alikuwa mchoyo wa muda, hisia, hata maneno ya faraja. Kila kitu kilikuwa ni lazima kimpendelee yeye kwanza, maamuzi yote yawe ni kuhusu kazi yake, ratiba yake hata chakula tulichokula kilitegemea anachotaka yeye. Nilipojaribu kueleza hisia zangu, alinipuuza au kunigeuzia maneno, akinifanya nijihisi kama mzigo.
Mwisho wa siku, niligundua kuwa mapenzi si ya mtu mmoja tu. Nilipoondoka, nilihisi huzuni lakini pia wepesi wa ajabu nilikuwa huru.
Tangu hapo, nimejifunza kuwa ukarimu kwenye uhusiano hauhusishi pesa pekee, bali pia moyo wa kugawana kila kitu kuanzia furaha hadi majonzi
Mimi nilikuwa nakaa mitaa jirani na aliyekuwa dem wangu,siku moja nimeumwa nikahitaji niandae dawa ya kunywa kwa kutumia blenda,,sikuwa na blenda ikabidi niombe aniazime,,Cha kushangaza alisema ile blenda haitoki kwake kuja kwangu labda nikatengenezee kwake kwa sababu anadai alipewaga na mzazi mwenzake ili awe anamuandalia juice mtoto wake,na mda huo ukizingatia haishia tena na mtoto kashampeleka kwa bibi yake ,Yuko peke yake geto.Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.