Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Wakuu habari zenu,

Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi.

To make story short. Baada ya kumuomba mbususu tukaenda guest bhana ile anavua nguo namuona ana mahirizi kama yote, mara Chale mwili mzima.

Nikamuaga naenda kukojoa huku nasema kimoyomoyo FIRE FIRE FIRE (bahati nzuri haikuwa self) ndo ikawa mazima na nikamblock. Kesho yake niliaga kwa babu nikamwambia nimepata dharula nikasepa zangu huku nikiwa na hofu tele.

Wewe ilikuwaje?
 
Hizo ndio shanga za urembo huko vijijini.. Angekuwa mchawi kweli usingechomoka
Ila hiyo gesti ambayo haikuwa self [emoji23]... I just can't imagine.. Ni gesti ambazo hukosi kutoka na faida ya kunguni
 
Siyo kweli, kwanini aje na hayo mairizi yake kwenye mnyanduano
 
Niliwahi kuwa na demu mchawi lakini siwezi simulia humu maana anaweza kuwa yuko humu akanijua ila ilikuwa balaa
Duuh ebu tumia codes kutupatia huo mkasa hatakujua
 
Watamu sana na kule chini hawajatumika sana kwani watu wengi wanawaogopa
 
Ila kama angevaa tasibihi nyingi shingoni hungeogopa! Hirizi ni jadi ya Mwafrika na imani yake ya kujilinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…