Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

Mwaka wa kwanza chuo nilipata demu sasa siku ya kwanza kulala nae akageuka nyoka nikajifanya sijaona

Siku ya pili akageuka kenge nikajifanya sijaona

Siku ya tatu akageuka fisi nikajifanya sijaona

Siku ya nne akageuka kobe nikajifanya sijaona

Siku ya tano akageuka bundi nikajifanya sijaona

Basi bwana wee akajichanganya siku ya 6 akageuka kuku nilimdaka kwa kasi ya kimbunga kisu cha shingo kesho yake asubuhi nikampika na pilau nikala na wanangu
Wilfred Ramadhan
Jovine machele
Frank machela
Issa stima
John mboya
Festo isaya
Bakari ruhiso
William temba
 
We jinga kweli

Unapofika mazingira ya ugenini unapotaka kula mbususu ulizia kwa wenyeji wako kwanza historia ya huyo mtu

kUkurupuka unaweza kula hata demu wa babu yako
Nilijifunza chief
 
Mwaka wa kwanza chuo nilipata demu sasa siku ya kwanza kulala nae akageuka nyoka nikajifanya sijaona

Siku ya pili akageuka kenge nikajifanya sijaona

Siku ya tatu akageuka fisi nikajifanya sijaona

Siku ya nne akageuka kobe nikajifanya sijaona

Siku ya tano akageuka bundi nikajifanya sijaona

Basi bwana wee akajichanganya siku ya 6 akageuka kuku nilimdaka kwa kasi ya kimbunga kisu cha shingo kesho yake asubuhi nikampika na pilau nikala na wanangu
Wilfred Ramadhan
Jovine machele
Frank machela
Issa stima
John mboya
Festo isaya
Bakari ruhiso
William temba
Mimi niliwahi kukutana na mmoja Bariadi mwaka 2004, nikamwambia hivyo ni vitendea kazi havifai kupata najisi viweke pembeni kwanza...
😀😀😀Utakuwa ulijitambulisha akaona we mwenzake tu maana we nae
 
Hii ilinitokea
Katoto ka 2005 kabonge bonge kazuri kana kijambo Kama chote nimekatongoza siku mbili siku ya tatu nimeenda kukakanda
Siku ya kwanza fresh nimekapa elfu 10 hakataki kananiambia kwani nimekwambia na shida na hela yako ikabidi nimuombe achukue akakubali
Baada ya wiki mbili nikamtafuta tena kaja anavua nguo aingie kuoga naona pawa bank mkono mmoja alafu chale sehemu mbalimbali za mwili yani ni kama za leo leo au jana bado hazijapona
mzuka ukapotea kaingia kuoga nawaza,
Lakini ile ni point of no return
nikakumbuka ngoma ya dingoo kisa hirizi ndiyo nisikukande!
unaota!! we mdada onaota!
Nikaruka nae hivyo hivyo
Namuuliza kwani imekuwaje ananiambia baba ndiyo ameleta mtaalamu huyo katufanyia dawa
Nikamblock na kufuta namba

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka wa kwanza chuo nilipata demu sasa siku ya kwanza kulala nae akageuka nyoka nikajifanya sijaona

Siku ya pili akageuka kenge nikajifanya sijaona

Siku ya tatu akageuka fisi nikajifanya sijaona

Siku ya nne akageuka kobe nikajifanya sijaona

Siku ya tano akageuka bundi nikajifanya sijaona

Basi bwana wee akajichanganya siku ya 6 akageuka kuku nilimdaka kwa kasi ya kimbunga kisu cha shingo kesho yake asubuhi nikampika na pilau nikala na wanangu
Wilfred Ramadhan
Jovine machele
Frank machela
Issa stima
John mboya
Festo isaya
Bakari ruhiso
William temba
Acha vituko mkuu, huyo wangu alisema anaweza geuka nyoka na kama nabisha anionyeshe, wee nikamwambia ukigeuka nyoka namuua huyo nyoka. Japo alikuwa na uwezo huo wa kugeuka nyoka lakini nilikuwa sitaki kushuhudia huo ushirikina. Vituko vilikuwa vingi sana siwezi eleza humu lakini wanawake wengi ni washirikina
 
Sitokaa nimsahau yule kenge, picha linaanza namwambia zima taa akanyoosha mguu tena umbali mrefu tu, nikastuka sana nikamwambia hebu washa tena akagoma! ulabu wote ulikata! Baada ya hapo nilianzisha vurumai ili nipate sababu ya kusepa, nikafanikiwa, niliumwa wiki nzima, ikawa kila nikienda mahali ananitokea, muda mwingine kama mhudumu wa bar, nesi nk..nilimtafuta nikampa black n white, akakiri kwamba alinipenda mno na nilimkwaza sababu tu nilimuahidi game[emoji23] , wakati naongea nae ilikua MRC Mikocheni, nyuma ya Shoppers, nikamwambia we nipotezee tu, asee from nowhere, waliibuka paka watatu chini ya miguu yangu, nilichukia ile nataka kunyanyuka ilipiga radi moja hatari na alikuwa amekasirika mm kumpiga chini, baadae nikawa na chat nae tu kama rafiki nikamwambia kwanini ushirikina wako usiutumie kutafuta hela? Akanambia ni kweli lakini nikitaka hela ni mpaka niwe nae kwenye mahusiano, alikua ana duka kariakoo, mshenzi sana, nikienda viwanja sijui Juliana , tripple 7 ,bulls park au fosters nikiagiza kinywaji ghafla namuona amekaa kwa mbali, nikiwa sina hela muamala huo na msg juu kwamba "najua huna hela" yani kila nikiwa na shida na pesa nikiwaza bila hata kumwambia mtu ghafla muamala unasoma, sasa sijui ni mchawi au jini yule ng'ombe, Dar isikie hivi hivi, yakikukuta utakaa kwa discipline!

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom