Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
chaiWakuu habari zenu,
Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi.
To make story short. Baada ya kumuomba mbususu tukaenda guest bhana ile anavua nguo namuona ana mahirizi kama yote, mara Chale mwili mzima.
Nikamuaga naenda kukojoa huku nasema kimoyomoyo FIRE FIRE FIRE (bahati nzuri haikuwa self) ndo ikawa mazima na nikamblock. Kesho yake niliaga kwa babu nikamwambia nimepata dharula nikasepa zangu huku nikiwa na hofu tele.
Wewe ilikuwaje?
Chai hiyo Dada na ww hujiongezi tuSasa na yeye alikuja kwenye migegeduano na hayo mahirizi ya nini. Au sharti hayatakiwi kuvuliwa?
Ulinzi shirikishi [emoji23]Sasa na yeye alikuja kwenye migegeduano na hayo mahirizi ya nini. Au sharti hayatakiwi kuvuliwa?
🤣🤣🤣🤣Mkuu itoshe kusema ww ni komandooooSitokaa nimsahau yule kenge, picha linaanza namwambia zima taa akanyoosha mguu tena umbali mrefu tu, nikastuka sana nikamwambia hebu washa tena akagoma! ulabu wote ulikata! Baada ya hapo nilianzisha vurumai ili nipate sababu ya kusepa, nikafanikiwa, niliumwa wiki nzima, ikawa kila nikienda mahali ananitokea, muda mwingine kama mhudumu wa bar, nesi nk..nilimtafuta nikampa black n white, akakiri kwamba alinipenda mno na nilimkwaza sababu tu nilimuahidi game[emoji23] , wakati naongea nae ilikua MRC Mikocheni, nyuma ya Shoppers, nikamwambia we nipotezee tu, asee from nowhere, waliibuka paka watatu chini ya miguu yangu, nilichukia ile nataka kunyanyuka ilipiga radi moja hatari na alikuwa amekasirika mm kumpiga chini, baadae nikawa na chat nae tu kama rafiki nikamwambia kwanini ushirikina wako usiutumie kutafuta hela? Akanambia ni kweli lakini nikitaka hela ni mpaka niwe nae kwenye mahusiano, alikua ana duka kariakoo, mshenzi sana, nikienda viwanja sijui Juliana , tripple 7 ,bulls park au fosters nikiagiza kinywaji ghafla namuona amekaa kwa mbali, nikiwa sina hela muamala huo na msg juu kwamba "najua huna hela" yani kila nikiwa na shida na pesa nikiwaza bila hata kumwambia mtu ghafla muamala unasoma, sasa sijui ni mchawi au jini yule ng'ombe, Dar isikie hivi hivi, yakikukuta utakaa kwa discipline!
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
,😁😁😁😁😁We hirizi zake zilikuwa zinakuhusu nini? ungezichezea kama shanga huku unafanya kilichokupeleka
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Duuh ila watu🤣🤣🤣
[/QUOTE
😂😂😂😂Tume gegedwa hapo
Huyo huyo Jonh mboyo nafkiri anajina la raisi wa Rwanda humu.Mwaka wa kwanza chuo nilipata demu sasa siku ya kwanza kulala nae akageuka nyoka nikajifanya sijaona
Siku ya pili akageuka kenge nikajifanya sijaona
Siku ya tatu akageuka fisi nikajifanya sijaona
Siku ya nne akageuka kobe nikajifanya sijaona
Siku ya tano akageuka bundi nikajifanya sijaona
Basi bwana wee akajichanganya siku ya 6 akageuka kuku nilimdaka kwa kasi ya kimbunga kisu cha shingo kesho yake asubuhi nikampika na pilau nikala na wanangu
Wilfred Ramadhan
Jovine machele
Frank machela
Issa stima
John mboya
Festo isaya
Bakari ruhiso
William temba
Acha utaniMchawi harogagi mpenzi wake
Sikuogopa
Chai tena ya motoSitokaa nimsahau yule kenge, picha linaanza namwambia zima taa akanyoosha mguu tena umbali mrefu tu, nikastuka sana nikamwambia hebu washa tena akagoma! ulabu wote ulikata! Baada ya hapo nilianzisha vurumai ili nipate sababu ya kusepa, nikafanikiwa, niliumwa wiki nzima, ikawa kila nikienda mahali ananitokea, muda mwingine kama mhudumu wa bar, nesi nk..nilimtafuta nikampa black n white, akakiri kwamba alinipenda mno na nilimkwaza sababu tu nilimuahidi game[emoji23] , wakati naongea nae ilikua MRC Mikocheni, nyuma ya Shoppers, nikamwambia we nipotezee tu, asee from nowhere, waliibuka paka watatu chini ya miguu yangu, nilichukia ile nataka kunyanyuka ilipiga radi moja hatari na alikuwa amekasirika mm kumpiga chini, baadae nikawa na chat nae tu kama rafiki nikamwambia kwanini ushirikina wako usiutumie kutafuta hela? Akanambia ni kweli lakini nikitaka hela ni mpaka niwe nae kwenye mahusiano, alikua ana duka kariakoo, mshenzi sana, nikienda viwanja sijui Juliana , tripple 7 ,bulls park au fosters nikiagiza kinywaji ghafla namuona amekaa kwa mbali, nikiwa sina hela muamala huo na msg juu kwamba "najua huna hela" yani kila nikiwa na shida na pesa nikiwaza bila hata kumwambia mtu ghafla muamala unasoma, sasa sijui ni mchawi au jini yule ng'ombe, Dar isikie hivi hivi, yakikukuta utakaa kwa discipline!
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
We ya kwako unayaachaga nyumbani sio [emoji3]
Mkuu kila siku huwa nawaza kuleta huu mkasa lakini huwa naona kama vile watu watadhani ni chai. Ila hii dunia ina mambo aisee.Duuh ebu tumia codes kutupatia huo mkasa hatakujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nshawah kua na mtoto wa mganga alikua mtu mmoja poa sana sema ndo hivo nature ina tutenganisha nimekula sana nyama za mbuzi plus makuku ya kafara i was deep in love with her
Kwahiyo mzinzi akamkemea mchawi kwa jina la Yesu.Wakuu habari zenu,
Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi.
To make story short. Baada ya kumuomba mbususu tukaenda guest bhana ile anavua nguo namuona ana mahirizi kama yote, mara Chale mwili mzima.
Nikamuaga naenda kukojoa huku nasema kimoyomoyo FIRE FIRE FIRE (bahati nzuri haikuwa self) ndo ikawa mazima na nikamblock. Kesho yake niliaga kwa babu nikamwambia nimepata dharula nikasepa zangu huku nikiwa na hofu tele.
Wewe ilikuwaje?
Chai tembeleSitokaa nimsahau yule kenge, picha linaanza namwambia zima taa akanyoosha mguu tena umbali mrefu tu, nikastuka sana nikamwambia hebu washa tena akagoma! ulabu wote ulikata! Baada ya hapo nilianzisha vurumai ili nipate sababu ya kusepa, nikafanikiwa, niliumwa wiki nzima, ikawa kila nikienda mahali ananitokea, muda mwingine kama mhudumu wa bar, nesi nk..nilimtafuta nikampa black n white, akakiri kwamba alinipenda mno na nilimkwaza sababu tu nilimuahidi game[emoji23] , wakati naongea nae ilikua MRC Mikocheni, nyuma ya Shoppers, nikamwambia we nipotezee tu, asee from nowhere, waliibuka paka watatu chini ya miguu yangu, nilichukia ile nataka kunyanyuka ilipiga radi moja hatari na alikuwa amekasirika mm kumpiga chini, baadae nikawa na chat nae tu kama rafiki nikamwambia kwanini ushirikina wako usiutumie kutafuta hela? Akanambia ni kweli lakini nikitaka hela ni mpaka niwe nae kwenye mahusiano, alikua ana duka kariakoo, mshenzi sana, nikienda viwanja sijui Juliana , tripple 7 ,bulls park au fosters nikiagiza kinywaji ghafla namuona amekaa kwa mbali, nikiwa sina hela muamala huo na msg juu kwamba "najua huna hela" yani kila nikiwa na shida na pesa nikiwaza bila hata kumwambia mtu ghafla muamala unasoma, sasa sijui ni mchawi au jini yule ng'ombe, Dar isikie hivi hivi, yakikukuta utakaa kwa discipline!
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app