Umewahi pitisha hata siku tatu bila kutia maji katika mwili?

Umewahi pitisha hata siku tatu bila kutia maji katika mwili?

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
 
Kwa sisi wanamume hilo jambo huwa linawezekana na isiwe ajabu sana, nimeshawai kukaa wiki tatu bila ya kuoga kule machimboni kulikuwa na uhaba mkubwa wa maji.
 
Kwa sisi wanamume hilo jambo huwa linawezekana na isiwe ajabu sana, nimeshawai kukaa wiki tatu bila ya kuoga kule machimboni kulikuwa na uhaba mkubwa wa maji.
Daah!! wikiii..3

Changamoto ilikuwa ipi kutokana na kutooga? Ulinukia?
 
Mimi kuanzia nipo mdogo ratiba yangu kuoga ni baada ya siku 3 na ni usiku tu,siku nikioga
 
Uwe unatembea na wipes for camping kama hivi
IMG_0924.jpg

IMG_0925.jpg

Hiyo husaidia sana walau kujifuta makwapani, kati ya mapaja halafu usikose toilet paper maana unaweza kujifutia tp baada ya kubwa halafu unamalizia hizo wipes unakua safi tu,
 
Back
Top Bottom