Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

K
Mi mwisho mwanga nilifuata sex nikamchezea kijana wawatu nahela nilichukua hakuniona tena baada ya hapo hata iweje sipokei simu akibadili na dawa nitakupigia
KARMA ipo njiani inakuja, Kama vipi rudisha hela ya mwenyewe kiroho Safi ama upeleke papuchi iliwe...ova!
 
Umewahi kusafiri umbali gani kufuata sex? Acha leo tuone magaidi[emoji23]
Abarikiwe yule mwanamke aliyekuwa anafuata mjulusi wangu kutoka Dar-Mwanza Tena Kwa nauli yake mwenyewe(go n return). Hakika alikuwa ananipenda Sana.
 
Dar-bukoba kijiji kinaitwa ntoija

Dar-moshi[emoji1787]
Dar-moro ndo akawa mke wangu nakupenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…