Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Mi mwisho mwanga nilifuata sex nikamchezea kijana wawatu nahela nilichukua hakuniona tena baada ya hapo hata iweje sipokei simu akibadili na dawa nitakupigia
aaaah ulijiona mjanja eeeh ... ulkula pesa zang ulidhan hatutokutana tena eeeh 😁😁😁
 
Mi kila siku nasafiri na VPN kutoka
Dar - U.S.A
U.S.A - Dar
Dar - U.K kwa marehemu malkia kufata Porn za kizungu na sijawahi kuchoka,. nahisi nasafari umbali wa kama GB 2 par day na nikimaliza PUCHU nafuta,.
 
Utopolo tu 😑😑😑😑
Alafu wee utakuwa shabiki wa simba wewe maana u avyooe da kusema utopolo. Sasa wee unafungaje safari yote hiyo kuishia kuchafuliwa tuu....kwani alikuwa hajakupelekea moto before?
 
Alafu wee utakuwa shabiki wa simba wewe maana u avyooe da kusema utopolo. Sasa wee unafungaje safari yote hiyo kuishia kuchafuliwa tuu....kwani alikuwa hajakupelekea moto before?
🤣🤣 Sasa mambo ya Simba yamekujaje ?
 
😂 Limenikaa tu ila mimi sinaga timu sio mpenzi wa mpira kabisa.
Sawa ...sasa lakini ulimwambia jamaa ukweli kuwa alichokufanyia ni utopolo tuu au ndio ulivyorudi na namba ukafuta kabisa🤣🤣🤣🤣
 
Sawa ...sasa lakini ulimwambia jamaa ukweli kuwa alichokufanyia ni utopolo tuu au ndio ulivyorudi na namba ukafuta kabisa🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Sikufuta ila sikupokea tena simu zake.
 
Dar to arusha na nikapata gono sirudii tena ujinga ule I can't forget hizi pisi kali majanga tu.
Pole sana Mkuu...si inasemekana Kaskazini hiyo kitu ni kawaida tu....wala haiwastui watu wa huko.
 
Back
Top Bottom