Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Nilitoka tu kwenye chumba cha mtihan nimuwah askar alokua analinda nje nlimwomba namba za simu akiwa amebebelea sub machine gun yenye magazine ya risasi 30 3.2kg ikiwa empty bila kuendekeza kichwa cha samaki ningekua daktari sa hii
 
Nimekuta sehemu wanajadili hili swala nikajua kumbe wahanga tupo wengi, nikaona niliwasilishe kwa wajumbe

Nimewahi kitoka Dar to Mbeya kufuata demu
Nilifika kama saa 2 usiku tukalala kesho yake asubuhi nikaanza safari ya kurudi Dar....... njiani nikawa najiuliza hivi nimerogwa ama?
 
Nimekuta sehemu wanajadili hili swala nikaona niliwasilishe kwa wajumbe

Nimewahi kitoka Dar to Mbeya kufuata demu
Nilifika kama saa 2 usiku tukalala kesho yake asubuhi nikaanza safari ya kurudi Dar....... njiani nikawa najiuliza hivi nimerogwa ama?
[emoji23][emoji23]
 
Nimekuta sehemu wanajadili hili swala nikajua kumbe wahanga tupo wengi, nikaona niliwasilishe kwa wajumbe

Nimewahi kitoka Dar to Mbeya kufuata demu
Nilifika kama saa 2 usiku tukalala kesho yake asubuhi nikaanza safari ya kurudi Dar....... njiani nikawa najiuliza hivi nimerogwa ama?
hahahahahaha
 
😂😂😂 mbn kwd sana
 
enzi za ujana niliwahi kusafiri kutoka dar es salaam kwenda geita kwaajili ya mbususu....safari ilikuwa ngumu enzi hizo mabasi yalikuwa yanaanza safari saa 11 alfajiri sikuwa nalijua hilo...nikachelewa kufika ubungo nikakuta gari Lushanga ndio inaondoka ilikuwa saa 12:30 hivi

safari ilianza vyema lakini basi lilikuwa alikimbii kabisa, baadae mvua ilinyesha kumbe lile basi lilikuwa linavuja nikawa nina kibarua cha kuhamia sehemu nyingine pindi mvua ikiwa inanyesha.

tulipo fika kwenye njia za vumbi pia hali ikawa tofauti lile gari lilikuwa kwa chini sehemu niliyokuwa nimekaa ile sehemu yenye muinuko wa tairi la nyuma kulikuwa na matobo hivyo vumbi lilikuwa linaingia ndani, kiukweli safari ilikuwa ya fedheha sana kwani abiri tulichafuka.

tulifka katoro saa 7 usiku dereva akagoma kuendelea na safari ikatulazimu tulale pale hadi alfajiri...

ndipo tulipoendelea na safari, mwenyeji wangu alinielekeza anapo patikana nikamuendea, nilifurahia mandhari ya kule haswa ule usafiri wa daladala za kule {baiskeli},

tulikulana sana na yule binti wiki nzima na baridi la kule lilikuwa linahamasisha kusuguana yani kilichokuwa kinatuokoa ni usingizi lakini kama kusingekuwa na usingizi haki tungekuwa tunasuguana usiku kucha....ajabu ni kuwa tukiwa kati kati ya mchezo manzi alikuwa ananiambia nimpeleke chooni though sikuwa najua anamaana gani hivyo siku wahi kumpeleka chooni...

wiki nzima niliyokaa kule ilikuwa ya furaha sana kwangu...lakini siku niliyoondoka ndio siku iliyokuwa ya maumivu sana kwangu, ni maumivu ambayo hadi leo sijapona yule binti alikata mawasiriaano na mimi kabisa hadi leo bado najiuliza nilimkoseaga nini ambacho akisameheki.

Rose enh ivi nimeshaelewa maana ya kukupeleka chooni njoo nikupeleke
 
chooni😂😂😂😂
 
Manyara to Mwanza ndo Mbususu niliyofuata mbali
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada.

Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo

Binafsi nina visa viwili.

1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda tanga kufata penzi, safari hii sikufanikiwa kula mzigo mara ya pili katika safari hiyohiyo (siku tofauti) nikula mzigo wa toto la kitanga.

2. Dodoma-Kahama, nilienda kwa mtoto mkali wa kinyamwezi (mwenyeji wa Tabora makazi yake Kahama) ambaye nilikutana naye social network nijisevia week nzima nikarudi nikiwa nimefurahia penzi la kinyamwezi.

WanaJF, ni umbali gani ulitumia kufuata penzi umbali mrefu bila ya kujali gharama/muda?

Nimekuta sehemu wanajadili hili swala nikajua kumbe wahanga tupo wengi, nikaona niliwasilishe kwa wajumbe

Nimewahi kitoka Dar to Mbeya kufuata demu
Nilifika kama saa 2 usiku tukalala kesho yake asubuhi nikaanza safari ya kurudi Dar....... njiani nikawa najiuliza hivi nimerogwa ama?
[emoji23] kwa nini boss?
 
Wewe ni noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi enzi hizo mama p ndio bado "kishikide" mtaani ndio kaanza kula nauli za watu, basi ndio nikaanza kumnyatia..

Mara anitumie text usiku nimelala eti "baby pole na kukoroma" kana kwamba aliniskia.

Kubwa kuliko yote ni ile siku nipo na mshua Home anataka kunipa maelekezo nipeleke mbao kwa baba bakari, mama p akanitumia text eti "baby njoo nikupe kitu"

Nikachomoka mbio kama mwizi anayefukuzwa na raia kakiona kituo cha polisi akajisalimishe..!

Kufika huko kidume nilishapitia ndomu njiani. Mixer mundende na alkasusu, nikamuuliza eeh "nipe baby ile mbuzi kagoma ndio nataka"
Mwenyewe akasema eti "Nilikuwa nataka nikupe mtungi wa gesi unisaide kubeba hadi kwa mangi"..
 
[emoji23] alikuweza
 
[emoji28][emoji28][emoji28] JF kuna mambo jamani
 
Dar to Babati, mara Mbili Nyakati tofauti na Nyakati zote namkuta ndio Anaanza period au yupo kati na Home nimeaga niko Interview siku mbili Mkoani. Maisha haya [emoji3][emoji1316]
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom