Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Dar to Babati, mara Mbili Nyakati tofauti na Nyakati zote namkuta ndio Anaanza period au yupo kati na Home nimeaga niko Interview siku mbili Mkoani. Maisha haya [emoji3][emoji1316]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dhuuuu huyo nae alikua
Na yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndo mana tunataka muwe verifaidi!🤏[emoji2535][emoji276]
 
Mimi enzi hizo mama p ndio bado "kishikide" mtaani ndio kaanza kula nauli za watu, basi ndio nikaanza kumnyatia..

Mara anitumie text usiku nimelala eti "baby pole na kukoroma" kana kwamba aliniskia.

Kubwa kuliko yote ni ile siku nipo na mshua Home anataka kunipa maelekezo nipeleke mbao kwa baba bakari, mama p akanitumia text eti "baby njoo nikupe kitu"

Nikachomoka mbio kama mwizi anayefukuzwa na raia kakiona kituo cha polisi akajisalimishe..!

Kufika huko kidume nilishapitia ndomu njiani. Mixer mundende na alkasusu, nikamuuliza eeh "nipe baby ile mbuzi kagoma ndio nataka"
Mwenyewe akasema eti "Nilikuwa nataka nikupe mtungi wa gesi unisaide kubeba hadi kwa mangi"..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinger sana
 
Back
Top Bottom