Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Dom to Mwanza, Geita, Mwanza to Dom, Dar! Dar to Mbeya, Mbeya to Dom ila sitasahau moments mbususu ya Geita, Dom toto la kifipa na kihehe, Mbeya toto la Kindari from Ileje, na mtoto wa kipare huyu aliniambukiza mpaka Chronic UTI ambayo ilinitesa miezi kadhaa iliathiri mpaka figo zangu na kunifanya hospitals za rufaa nizione kama mageto tu ya kulala wakati wote sitasahau aisee..!

Bytha niko home tu siku hizi nmetulia meacha uzurulaji wa mikoani kama hapo awali..
 
Dar to Songea kumfata Single maza wangu.

Tulidumu miaka miwili, baadae nilikuja kugundua kumbe ni kicheche balaa na baba mtoto japo ameoa ila bado wanakulana.

#YNWA
 
Ajali kazini.

Usiwe unasahau CONDOM.

#YNWA
 
Ajali kazini.

Usiwe unasahau CONDOM.

#YNWA
Toka nigue hilo dude niliachana na mbususu sikutaka kusupply bacteria na kutesa watoto wa watu kwanza nili hustle kujitibisha, nashukuru Mungu nilipona japokua kwa mbinde sana nakiri maumivu ya tumbo niliyokua napata sikuwahi kuyapata toka nizaliwe, Saiv nina miezi kadhaa sijagusa mwanamke kabisa hata baada ya kupona.
 
1. Mbeya Morogoro.
Sijawahi juta
2. Dodoma Morogoro.
Pia sijawahi juta.
3. Dar Morogoro.

Sijui Morogoro kuna nini na mie. Ila hapo namba 2 na 3 ndio mrembo huyohuyo mmoja.
 
Kawaida sana tu hii, Kuna watu wanacross borders na show inakua ya one night stand tu. Unafikiri wanapoteza kiasi gani cha muda na fwedha.
 
Kawaida sana tu hii, Kuna watu wanacross borders na show inakua ya one night stand tu. Unafikiri wanapoteza kiasi gani cha muda na fwedha.
Kuna kipindi nimeishi Mbeya it was 2010 or 11. Kuna dada mmoja Mmarekani mwenye asili ya Kihindi alikuwa Mbeya enzi hizo. Jamaa yake alitoka Marekani all the way mpaka Mbeya kuja kupiga mzigo tu.
 
Nilipigishwa route Dar to Arusha, nikafika Nyambu ikaingia mitini ikabidi niende Moshi kufata nyingine nayo ikanipiga chenga ya mwili.

Kabla sijageuka Dar nikaombwa msamaha nirudi Arusha kuifata tena Napo ikanichezea Mchezo.

Nikafunga Safari mpaka Tanga kwa jamaa yangu akanipeleka kwa Dokta kupiga Tunguli nikarudi Dar.

Baada ya Wiki mbili Mbususu zote ziliwasili Dar kwa Nauli zao nikajilia saafi.
 
Vitoto vya shinyanga au Mwanza mkuu?
 
Ntakutafuta inbox mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mshana Jr analizungumziaje hili suala!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji56] JF
 
Ulimkosea kwa kutompeleka chooni, hujui kosa kwa vipi wakati umesha litaja
 
Kuna walio safiri kwa shida na hawakupata walicho endea.
 
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
pole sana UTI sugu ni hatari kwa afya ya figo,na unaua uwezo wa figo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…