Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Mtoto katoka Wellington New Zealand hadi Bongo Darisalama kipande ya salasala kunifuata Mimi, hapo ni baada ya mjinga mmoja kuniita Mwanaume Suruali sina lolote! kanifitini huyo ili niachishwe kazi, akafanikiwa, punde nikaondoka na Mamaaa kitu Wellingtone Mpaka kesho nikazama mazimaa, tena na hii COVID naomba iwe hivihivi! hakuamini ujumbe kuupata alidhani nataka sifa, anasota na Mtoto, kazi kapigwa yeye chini!
 
hongera mkuu
 
Anatamani iwe ndoto
 
Mwanza to Shinyanga nimeenda sana kila nikienda naopoa mtoto mwingine wa kunifanya nimuandalie safari sema vitoto vya kulee havina mambo mengi.

Arusha to Mbeya [emoji28][emoji28] nikasema sio mbaya nibadili taste ya vitoto vya MUST,
Ata sio kupenda kisawa sawa mwingine ni uroho wetu tu
 
Mwanza to shinyanga nmeenda sanaa.kila nikienda naopoa mtoto mwingine wa kuni fanya nmuandalie safari ..sema vitoto vya kulee havina mambo mengi

Arusha to mbeya [emoji28][emoji28] nikasema sio mbaya nibadili laza ya vitoto vya MUST,
Ata sio kupenda kisawa sawa mwingine ni uroho wetu tu
Mwamba Shy pale kuna mbususu za hatari
 
Back
Top Bottom