Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sikuandika ili uamini.. Nilikuwa namjibu aliyeniulizaAcha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuandika ili uamini.. Nilikuwa namjibu aliyeniulizaAcha uongo
Huyo Ndo Mkuu wa idara motuary hapa Jf kila Mtu anamjua achilia mbali Kazi yake ya ulozi na kiringeAcha uongo
Maana huwa unapapenda sana, katika kila komenti zako 15 haikosi moja inayoelezea kituo chako cha kazi cha zamani [emoji1787][emoji1787]Ndio kaka
HahahaDah, usinikumbushe kile kisa cha maiti iliyotoka nduki
Mstaafu sasa ni kazi niliyoipenda na kuifanya kwa weledi mkubwaMaana huwa unapapenda sana, katika kila komenti zako 15 haikosi moja inayoelezea kituo chako cha kazi cha zamani [emoji1787][emoji1787]
Unaonaje ukituletea mambo uliyowahi kuyaona ambayo sio ya kawaida enzi ukifanya kazi mochwari, kufanya kazi mochwari kulianzaje, ulikuwa na hilo wazo kabla? au ilitokea tu kwenye harakati za maisha? vipi ile siku ya kwanza uliyoanza kazi, humo ndani palikalika?Ndio kaka
Hakuna kufa kimasihara mkuu Mbwichichi huyo ndo tayari kafa.Leo nimeona mtu akifa kama utani na mbele yangu.
Wakati nikivuka barabara ghafla mtu mwanaume aliyekuwa mbele yangu akaanguka kama kapigwa shoti ya umeme.
Akajibamiza vibaya sana chini na pote pakaanza kutapakaa damu, inatoka kila eneo la wazi la mwili.
Sababu ya butwaa nilikosa cha kusaidia ila wakaja wadau hapo wakasema ni kifafa huyo, jamaa keshameza ulimi n.k yaani kuna mzee akamgusa akasema huyo tayari kafa.
Basi ikawa ndio hata hatujui nini kifanyike
Ila ndio ikawa tayari amekufa. Nikaahirisha na safari nikarudi zangu nyumbani.
Umewahi shuhudia mtu kufa kimasihara?
Unaonaje ukituletea mambo uliyowahi kuyaona ambayo sio ya kawaida enzi ukifanya kazi mochwari, kufanya kazi mochwari kulianzaje, ulikuwa na hilo wazo kabla? au ilitokea tu kwenye harakati za maisha? vipi ile siku ya kwanza uliyoanza kazi, humo ndani palikalika?
Demu alikuwa ameenda kuwangaUmenikumbusha jambo moja lililotokea nikiwa na demu geto, ndani ya sekunde 5 nishapagawa.
Mwezi wa 7 nilikuwa na demu geto, baada ya kunyanduana tukawa tumelala. Sasa USIKU wa manane nilivyoshtuka, kumwangalia demu katulia tiiiii. Kumgusa kwenye mbavu akawa kama hapumui hivi! Oyaa, nilidata, nikajua ashavuta.
Basi nikamtikisa kwa nguvu sana ndo akashtuka anauliza NINI????
Nilivuta pumzi ndefu halafu nikalala Hata sikumsemesha
Dash[emoji38]Ulikuwa boya kwa nini usifumbue macho kuona anasemaje mtu mpaka anakugusa unajikausha tu unajifanya una upako, kilaza kabisa ww .
I can feel you,pole sanaMwezi wa tano mwaka huu mtoto wangu alikuwa kalazwa KCMC kwa shida ya moyo. Saa 7 usiku daktari akanipigia simu kuwa hali ya mtoto imebadilika ghafla. Niliwasha gari na kuelekea hospitali haraka na kufika tu dogo akanishika mkono akakata roho....
Natamani sana nisingepigiwa ile simu. Mzazi hapaswi kuzika mtoto bali mtoto ndio amzike mzazi
Nilishapoa mkuuI can feel you,pole sana
Amina. NimeshapoaPole sana mkuu, mtoto apumzike kwa amani🙏
Asante sanaPole saaana Mkuu.
Asante sana ndugu yanguPole sana, Mungu akupe faraja kuu na akufute machozi na maumivu yote.
Pole sana mkuu, imeniuma kama mimi ndio mzazi!!Mwezi wa tano mwaka huu mtoto wangu alikuwa kalazwa KCMC kwa shida ya moyo. Saa 7 usiku daktari akanipigia simu kuwa hali ya mtoto imebadilika ghafla. Niliwasha gari na kuelekea hospitali haraka na kufika tu dogo akanishika mkono akakata roho....
Natamani sana nisingepigiwa ile simu. Mzazi hapaswi kuzika mtoto bali mtoto ndio amzike mzazi
Una kamfano kokote mdauHatari sana.
Ombea Mungu usifiwe na demu ghetto, bora hotelini unaweza kutoka nduki
Pole sana😭Mwezi wa tano mwaka huu mtoto wangu alikuwa kalazwa KCMC kwa shida ya moyo. Saa 7 usiku daktari akanipigia simu kuwa hali ya mtoto imebadilika ghafla. Niliwasha gari na kuelekea hospitali haraka na kufika tu dogo akanishika mkono akakata roho....
Natamani sana nisingepigiwa ile simu. Mzazi hapaswi kuzika mtoto bali mtoto ndio amzike mzazi