Mkuu LEGE maelezo mazuri but naomba tuweke record sawa hapa.
1)Gari za hybrid hapa bongo zipo nyingi e.g. Prius, Harrier, Crown etc zina hybrids za kutosha.
2) Gari ya Hybrid ina Engine ya kawaida kabisa na betri kubwa ya pili(ziada) inayo-power motor kwa ajili ya kusukuma gurudumu so huwa vinapokezana.
3) Hauwez kucharge hybrid car kutumia mfumo wa charger ya nje bila ufundi kidogo. TESLA pekee ndo zinachargiwa hvyo na ni full electric.
4) Hybrid hauwezi ukaendesha gari mpaka battery ikadrain to zero, usually battery-motor inatumika kwny initial acceleration kuipa nguvu engine au ukiwa unacruise kwny mwendo mdogo lakini hybrid zote zimewekewa control huwa zinaswitch from battery to full engine charge ikishuka sana so hautakaa udrain charge mpaka zero ni ngumu sana. Mara nying battery inacharge kw kutumia regenerative braking(ukiwa unabrake) na itazima mafuta tu yamekata sio battery...