Umiliki silaha kinyume na sheria

Umiliki silaha kinyume na sheria

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?

Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake itakuwa ni imilivyu ama sio.
 
Huna akili.
 
Wengi wanaomiliki silaha uishia kuua au kujiua.
Ni bora kuwa na bodyguard kuliko kumiliki silaha. Hasa kama emotional haupo vizuri.
Ukiwa na hasira au mke mwenye hasira usimiliki silaha.
Kihisia niko stable uenda mambo yabadilike(yawe kinyume) lakini kuhandle storms tu hata kama nina M16 ninaweza ishi nayo na nisimzuru mtu.
 
achana nayo usinunuwe kesi iyo bora uitafute kihalali.
 
Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used,silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji damu ya mtu wakati wowote.
Kwahiyo ukinunua silaha na katika kujilinda ukaua,inabidi uitupe na kwenda kununua silaha nyingine mpya?

Kwahiyo silaha inatakiwa itumike mara moja tu? Unanunua silaha mpya ila mmiliki na mtumiaji ni yule yule!

Silaha inaendeshwa na wewe,inaua kwa wewe kuitumia,sasa badala ya kununua silaha mpya,inabidi wewe mmiliki ndio ubadilike na sio silaha.
 
Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?

Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake itakuwa ni imilivyu ama sio.
Natafuta hako kadude pia kwa njia hiyo nije pm ?
 
Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.
Umenena vema Mkuu. Mbona akifuata utaratibu anapata tu, akanunue madukani. Iringa, au Morogoro mzinga jeshini. Afuate taratibu za kuomba kibali Cha kumiliki silaha atakuwa huru sana.
 
Kihisia niko stable uenda mambo yabadilike(yawe kinyume) lakini kuhandle storms tu hata kama nina M16 ninaweza ishi nayo na nisimzuru mtu.
Circumstance Huwa zinaweza kukucompell. Ila nashauri nunua kihalali maduka ya hapa Nchini. Fuata utaratibu wa kupata kibali Cha kumiliki silaha. Maisha yatakuwa mubashara tu. Mkuu.
PATA halali Achana na haramu
 
Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.
Ninahisi kuwa yeye ndiye mmiliki halisi ama ni mtu aliyekaa nayo kwa kipindi kirefu.
Hii hapa ni picha ya hiyo kitu ikiwa katika hali upya upya wake.
Na kuhusu hunted na spirits za wahanga wa hiyo Roho sidhani kwangu itakuwa changamoto as ninaikubali sana Nguvu ya Rozali😁
 
Attachments

  • +27 73 805 0017 20220624_232539.jpg
    +27 73 805 0017 20220624_232539.jpg
    53 KB · Views: 13
isijekuwa ishafanya tukio na kesi ipo kwenye upelelezi, angalia usijekuyavagaa yasiyokushusu bro
 
Back
Top Bottom