Umiliki silaha kinyume na sheria

Umiliki silaha kinyume na sheria

Ninahisi kuwa yeye ndiye mmiliki halisi ama ni mtu aliyekaa nayo kwa kipindi kirefu.
Hii hapa ni picha ya hiyo kitu ikiwa katika hali upya upya wake.
Na kuhusu hunted na spirits za wahanga wa hiyo Roho sidhani kwangu itakuwa changamoto as ninaikubali sana Nguvu ya Rozali[emoji16]
Unapofanya tukio jitahidi usiache alama, kama ndio hii naona picture file name ina namba za simu tunaweza anzia hapa kukutrace kwa kushirikiana na ubalozi wa SA na interpol.
 
77ccc82f-cac8-4821-ae7c-9d7b431ce3be.jpg
 
Circumstance Huwa zinaweza kukucompell. Ila nashauri nunua kihalali maduka ya hapa Nchini. Fuata utaratibu wa kupata kibali Cha kumiliki silaha. Maisha yatakuwa mubashara tu. Mkuu.
PATA halali Achana na haramu
Shida ni kwamba mzunguko na mkubwa hadi kuja kupewa na ninaweza nisiwe na sifa za kupewa.
Hii ninaipata bila kuangalia nina vigezo ama sina na zaidi ni pesa ndogo sana anahitaji ni kama vile ananipa kishikaji tu kwasababu ya ushikaji wetu.
 
Unapofanya tukio jitahidi usiache alama, kama ndio hii naona picture file name ina namba za simu tunaweza anzia hapa kukutrace kwa kushirikiana na ubalozi wa SA na interpol.
Ikiwa itakuwa hivyo basi kutakuwa na Cheni ndefu hadi kukamatwa kwangu. Kutoka SA hadi WAU ni mbali sana na Itakuwa imepita mikononi mwa watu wengi.. Fanya hivyo nafasi yako inavyokutuma.
 
Back
Top Bottom