let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Huna akili.Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?
Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake itakuwa ni imilivyu ama sio.
Kwani kazi ya silaha ni nini?Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.
KuuaKwani kazi ya silaha ni nini?
Sawa. Ila kumbuka sijauliza ikiwa nina akili ama sina!Huna akili.
๐ฌMiaka 30 inakuhusu
Kihisia niko stable uenda mambo yabadilike(yawe kinyume) lakini kuhandle storms tu hata kama nina M16 ninaweza ishi nayo na nisimzuru mtu.Wengi wanaomiliki silaha uishia kuua au kujiua.
Ni bora kuwa na bodyguard kuliko kumiliki silaha. Hasa kama emotional haupo vizuri.
Ukiwa na hasira au mke mwenye hasira usimiliki silaha.
Kwahiyo ukinunua silaha na katika kujilinda ukaua,inabidi uitupe na kwenda kununua silaha nyingine mpya?Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used,silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji damu ya mtu wakati wowote.
Guns don't kill people, people kill peopleUkitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.
Natafuta hako kadude pia kwa njia hiyo nije pm ?Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?
Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake itakuwa ni imilivyu ama sio.
Umenena vema Mkuu. Mbona akifuata utaratibu anapata tu, akanunue madukani. Iringa, au Morogoro mzinga jeshini. Afuate taratibu za kuomba kibali Cha kumiliki silaha atakuwa huru sana.Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.
Wewe jamaa unajua kujibu aisee.Sawa. Ila kumbuka sijauliza ikiwa nina akili ama sina!
Circumstance Huwa zinaweza kukucompell. Ila nashauri nunua kihalali maduka ya hapa Nchini. Fuata utaratibu wa kupata kibali Cha kumiliki silaha. Maisha yatakuwa mubashara tu. Mkuu.Kihisia niko stable uenda mambo yabadilike(yawe kinyume) lakini kuhandle storms tu hata kama nina M16 ninaweza ishi nayo na nisimzuru mtu.
Ninahisi kuwa yeye ndiye mmiliki halisi ama ni mtu aliyekaa nayo kwa kipindi kirefu.Ukitaka kununua silaha usinunue silaha used. Silaha ni roho kama ilishaua ni lazima itahitaji tu damu ya mtu wakati wowote.