Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya kufanyika kwa mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri.
Amekuja na jambo kubwa kwa wana Tanga. Ambapo amekuja na kitu Kinaitwa "AMKA NA SAMIA JOGGING" .ambapo zoezi hilo litafanyika siku ya kesho ya tarehe 22 Februari. Ni zoezi ambalo ni maalumu katika kunogesha shamrashamra za Mapokezi Mazito ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambaye anatarajiwa kutua na kufanya ziara ya kikazi kuanzia Februari 23. Ambapo Samia Jogging ni Mazoezi ya kukimbia na kufanya mazoezi mengine madogo madogo kama ilivyo kawaida katika kuuweka mwili sawa.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa akisisitiza na kuwataka watanzania kujizoesha juu ya ufanyaji wa mazoezi na kuzingatia kanuni za afya tangia akiwa Waziri wetu wa afya. Amekuwa akisisitiza jambo hilo kama ushauri wa wataalamu wa afya unavyosema kuwa kwa kufanya hivyo inasaidia kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza kama vile kisukari , presha n.k.
Utamaduni huo wa kufanya mazoezi bado Mheshimiwa Ummy Mwalimu anaendelea kuusisitiza na kupaza Sauti kwa watanzania. ili wasiupuuze wala kuacha japo yeye yupo nje ya Baraza la mawaziri kama Waziri. lakini bado anatumia nafasi yake kama muwakilishi wa wananchi kuwakumbusha watanzania juu ya ufanyaji wa mazoezi.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa Miongoni mwa Viongozi ambao wamekuwa wakimsemea sana Rais Samia awapo jimboni kwake juu ya kazi kubwa zilizofanywa Na Mama yetu Mama Samia. Amekuwa akisema bila kusita wala hofu na kwa mifano na kuonyesha miradi mikubwa ya Elimu, maji,Nishati, miundombinu n.k.iliyofanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa Mama Samia.
Ni kweli Mheshimiwa Ummy Mwalimu ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine. Na ni kweli hajakamilika kama ambavyo hakuna Mwanadamu aliyekamilika chini ya jua. Lakini Mnyonge mnyongeni ukweli lazima usemwe kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu anamsemea sana Mheshimiwa Rais katika kazi mbalimbali alizofanya na kutekeleza.hajawahi kukaa kimya na kuwa bubu katika kumsemea Rais Samia kama ambavyo wengine hufanya wakishatolewa kwenye Uwaziri.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa mfano wa Kuigwa katika kauli ya cheo ni Dhamana. Ambapo hata alipoachwa katika baraza la Mawaziri bado ameendelea kuchapakazi vyema na kuwa karibu ya wananchi wake na kuwaelezea yale makubwa ambayo Rais ameyafanya kwa wana Tanga na yale ambayo watarajie kuyapata kutoka kwa Rais Wetu Mpendwa. Ameendelea kuwaomba wana Tanga kuendelea kumuunga mkono na kumuombea Rais Samia.
Ndio Maana tunaona hata katika ziara hii ya Mheshimiwa Rais Mkoani Tanga , Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo mstari wa mbele kabisa katika maandalizi ya Mapokezi mazito ya Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ambapo taarifa zinaonyesha na kudokeza ya kuwa Tanga wanakwenda kuvunja rekodi ya Mapokezi mazito kwa Mheshimiwa Rais tangia amekuwa Rais wetu.
Inaelezwa ya kuwa Wana Tanga wamepania kwelikweli kumlaki na kumpokea Mama kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Tanzania Nzima. Wana Tanga wanataka kujiwekea rekodi yao kubwa ya mapokezi na kumwambia Mama kuwa wapo tayari kumpa kura za ndio kwa kishindo kikuu uchaguzi ujao na kwamba asiwe na wasiwasi na wana Tanga.kwa sababu kazi aliyoifanya ya kuwapelekea maendeleo na miradi ya maendeleo wameiona kwa macho yao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.