Leo anaijuq Quran? Pia asisahau kuvaa hijabAlhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
#Mchetungwa
#OdoUmmy
#OktobaTunatiki✅✅✅
“Waambie waumini wanaume wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao... Na waambie waumini wanawake wainamishe macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayoonekana, na waangushe khimari zao mpaka vifuani mwao, wala wasidhihirishe mapambo yao...”
Na alivo mzuri na shingo yake ile, imeniuma kumkata.Kamdomo kamemponza Odo.
Yeye na January Makamba inaonekana hawakutaka kwenda kutubu kwa Malaika kama alivyofanya mwenzao Nappe.Waliondolewa kwenye uwaziri kwa pamoja na sasa mmoja wao tu ndo kapenya.Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
#Mchetungwa
#OdoUmmy
#OktobaTunatiki[emoji736][emoji736][emoji736]
Aliongea nini? binafsi,nilikuwa namkubali.Kamdomo kamemponza Odo.
Huyu makubel si aliwahi kugombea Chadema?Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
#Mchetungwa
#OdoUmmy
#OktobaTunatiki✅✅✅
Alikua anamsema mama abduli ni mlevi sijui akishalewa anafanya nini nini hukoAliongea nini? binafsi,nilikuwa namkubali.
Hapo ana jukumu la kuhakikisha huyo Mteuliwa ana shinda,dahHuwezi ukakatwa ukaridhika, lakini hakuna namna
DuhAlikua anamsema mama abduli ni mlevi sijui akishalewa anafanya nini nini huko
haupo kwenye kongamano shehe?Hii ndiyo
Breaking News?
Mbona kwenye siasa vitu vya kawada.
Naunga mkono hoja, na tema sio ile sura nzuri ya ki baby face, yale macho gololi rolling eyes, zile pingili za shingo, kale kamdomo, zile dimples, hata kule kwenye yale mambo yetu yale!, huyu sii mchezo maana ni mtoto wa ki Tanga!.Na alivo mzuri na shingo yake ile, imeniuma kumkata.
Adui wa mwanamke ni mwanamke.Alikua anamsema mama abduli ni mlevi sijui akishalewa anafanya nini nini huko