Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

kwahiyo unataka kusema ummy hakuutaka ubunge hadi asiumie?
Ummy ameshukuru kwa kila hali iliyomtokea.Wewe ukadai ni unafiki. Hajasema hakuutaka ubunge.Asingeutaka asingejaza fomu.Usichoelewa ni nini?Kushukuru kwenu ni unafiki?Ulitaka ajinyonge?
 
Ok tufanye uko sawa...

psychologically huyu mtu aliyeutaka ubunge, akapambana kura za maoni akashinda kwa kura elfu 5 na...

akaja kukatwa na kikao cha watu hawazidi 100, atashukuru kwa kujifanya ana busara ila moyoni anaumia...

mimi ningekua ummy, ningeshukuru ila ningesema hadharani kwamba sijatendewa haki ili kuondoa sumu mwilini...

hapo ataendelea kuumia kwa kufikiri kutokusema hajatendewa haki ni busara...
 
Unamuita Boss wako mlevi unategemea nini.
Boss wa mbunge ni wananchi wa Jimbo lake, kenge wewe!
Nyie ndo munatuchelewesha kupata Taifa la wananchi! Siku zote munataka watu waishi kwenye dhana ya Rais ni boss wa kila kitu
 
Ok tufanye uko sawa...

psychologically huyu mtu aliyeutaka ubunge, akapambana kura za maoni akashinda kwa kura elfu 5 na...

akaja kukatwa na kikao cha watu hawazidi 100, atashukuru kwa kujifanya ana busara ila moyoni anaumia...

mimi ningekua ummy, ningeshukuru ila ningesema hadharani kwamba sijatendewa haki ili kuondoa sumu mwilini...

hapo ataendelea kuumia kwa kufikiri kutokusema hajatendewa haki ni busara...
Thanks God wewe sio Ummy.Kila mtu huwa ana namna yake ya ku handle na kutatua matatizo kutokana na personality yake. Hivyo ndivyo Ummy alivyoamua kujibu.Wewe unataka ajibu unavyotaka wewe.Tuheshimu uamuzi wa wengine tunapotaka wengine waheshimu maamuzi yetu.
 
pamoja na kuheshimu maamuzi ya wengine lakini tuna haki ya kutafsiri maamuzi hayo...

na hii haitotafsirika kama tunataka afanye tunavyotaka...

mtu akisema jambo unalolifahamu, una haki ya kulizungumzia jambo hilo kwa mtazamo sahihi...

ummy ameshindwa kusema hajatendewa haki kwasababu ya uoga tu, ndani ya ccm ukiongea ukweli unafanyiwa z3ngwe...

mtu aliyeshinda kura za maoni, akakatwa, ni lazima aumie kwasababu ya matarajio aliyokua nayo...

kuja mbele za watu na kutoa statement ya kuonesha hajaumia haiondoi ukweli kwamba kaumia...

sasa huko kushukuru wakati umeumia ndio unafiki wenyewe...
 
Inaelekea umeumia zaidi ya Ummy mwenyewe.Na unaujua uchungu wa Ummy kuliko yeye mwenyewe? Eti unatafsiri maamuzi?Unajua maana ya kutafsiri?Ummy sio wa kwanza wala wa mwisho kukatwa na vikao vya Chama chake na akaamua kukubali na kuheshimu maamuzi yaliyotolewa.Wewe usiyehusika unalazimisha afanye unavyotaka wewe.Huko ndiko kukosa heshima na kuingilia privacy ya Ummy. Jifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata kama hayaendani na unavyotaka wewe.Inawezekana kwako ni unafiki lakini kwake ikawa anashukuru kwa dhati na kwa sababu wewe sio Ummy upo kwenye assumption tu ya ku assume unachotaka wewe.
 
shida kubwa ya Watanzania wengi ni unafiki na kujipendekeza
Sifa nyingine ni kulazimisha watanzania wote wafikiri na kutoa maamuzi kama wanavyotaka wao.Hawataki mtu awe huru kuamua anachoona kinafaa wakati huo.
 
Boss wa mbunge ni wananchi wa Jimbo lake, kenge wewe!
Nyie ndo munatuchelewesha kupata Taifa la wananchi! Siku zote munataka watu waishi kwenye dhana ya Rais ni boss wa kila kitu
Kwa katiba ipi ? Sasa mbona katemwa na alishinda maoni ..
 
Huyo Allah ndio Nani???Usituchanganye Sisi.Unaumia alafu anaongea kinafiki
 
Back
Top Bottom