Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ila uzuri katusanua kwamba mama yule ni mlevi .Kamdomo kamemponza Odo.
Ila uzuri katusanua kwamba mama yule ni mlevi .Kamdomo kamemponza Odo.
Wabaya ni waliomrekodi afu wakapeleka audioAngemfichia siri mwanamke mwenzie.
Boss hasemwiKwani uongo? Tuombe Mungu uzima, siku huyu mama atakapoacha urais ndiyo atajua mbichi na mbivu.
Zile za MSD na nhif unge wapa kidogo. Wajenge Shule hata ya awaliAlhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
#Mchetungwa
#OdoUmmy
#OktobaTunatiki✅✅✅
Maneno hayawakilishi ya moyoni.Hekima na busara ya hali ya juu
hata mimi nawashangaa wanaosema hii ni busara...Woga na unyonge wa kukosa la kufanya hata siku moja havijawahi kuwa hekima. Hapa anajua kabisa hana la kufanya na ameona ni bora akubali kwa shingo upande ili ''pengine anaweza kukumbukwa tena kwenye nafasi nyingine''. Nna uhakika hapo alipo analaumu sana uchaguzi kutokuwa huru kwani angeweza kuhamia chama kingine na akashinda au kungekuwa na mgombea binafsi angejaribu....
Masikini Ummy Mwalimu!.Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
#Mchetungwa
#OdoUmmy
#OktobaTunatiki✅✅✅
Naunga mkono hoja, na tema sio ile sura nzuri ya ki baby face, yale macho gololi rolling eyes, zile pingili za shingo, kale kamdomo, zile dimples, hata kule kwenye yale mambo yetu yale!, huyu sii mchezo maana ni mtoto wa ki Tanga!.Na alivo mzuri na shingo yake ile, imeniuma kumkata.
Kwa hiyo wewe ni Ummy kuliko Ummy mwenyewe?Unafiki...
Najua Ummy hajaridhika na maamuzi haya...