Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

Leo anaijuq Quran? Pia asisahau kuvaa hijab

Surat An-Nur (24:30-31)
Allah anawaamrisha wanaume na wanawake kujilinda na kujisitiri:



 
Yeye na January Makamba inaonekana hawakutaka kwenda kutubu kwa Malaika kama alivyofanya mwenzao Nappe.Waliondolewa kwenye uwaziri kwa pamoja na sasa mmoja wao tu ndo kapenya.
 
Huyu makubel si aliwahi kugombea Chadema?
 
Na alivo mzuri na shingo yake ile, imeniuma kumkata.
Naunga mkono hoja, na tema sio ile sura nzuri ya ki baby face, yale macho gololi rolling eyes, zile pingili za shingo, kale kamdomo, zile dimples, hata kule kwenye yale mambo yetu yale!, huyu sii mchezo maana ni mtoto wa ki Tanga!.

Kwa Ummy Mwalimu, mimi kwanza nakiri udhaifu, kwasababu na mimi ni binadamu, hakuna mkamilifu, pia namkubali sana, na niliwahi kuuliza #COVID19 - Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…