Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

Kumbe ni mwehu
 
Huyo Kasimu Makuberi ni Muuza Kuber Khain Maarufu? Au Mla Kuber Maarufu?
 
Si mambo yote anapanga Muumba, Ummy umefanyiwa uhuni kama alivyofanyiwa Gambo na wengineo.
Kwa kuwa mliishi ndani ya jumba la sanaa basi ipokeeni hiyo sanaa kwa mikono miwili.

Sisi watanganyika werevu tunasema - NO REFORMS NO ELECTION.
 
Pale mashangingi wanapo palulana anatolewa shangingi huyu anaingia shangingi mwingine. Ndio TAIFA linavyo tafunwa.
KAZI ni kipimo cha utu
 

Two faces
 
sawa, pole llkn ndo maisha
 
poke mkuu ndo maisha ...
 
Hekima na busara ya hali ya juu
Woga na unyonge wa kukosa la kufanya hata siku moja havijawahi kuwa hekima. Hapa anajua kabisa hana la kufanya na ameona ni bora akubali kwa shingo upande ili ''pengine anaweza kukumbukwa tena kwenye nafasi nyingine''. Nna uhakika hapo alipo analaumu sana uchaguzi kutokuwa huru kwani angeweza kuhamia chama kingine na akashinda au kungekuwa na mgombea binafsi angejaribu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…