Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

Raha ya kuandika unaweza ukaandika YASIYOTOKA MOYONI🤗🤗.
sema hela anayo akalime tu
 
Polepole anaendelea kusajili washambuliaji wapya kwenye timu yake
 
Zile za MSD na nhif unge wapa kidogo. Wajenge Shule hata ya awali
 
hata mimi nawashangaa wanaosema hii ni busara...

ummy alipaswa aseme, nimekubaliana na maamuzi ya kikao ila sijatendewa haki...
 
Kumbe mwanzoni walikuwa wanamjaza..AKAJAA..pole sana Oddo wetu..kuna maisha nje ya SIASA
 
Nchi hii kunaupuuzi mkubwa wa kuwaamulia wananchi kiongozi wasiyemtaka.Kwani rais kukosolewa ni vibaya?
 
Masikini Ummy Mwalimu!.
Na alivo mzuri na shingo yake ile, imeniuma kumkata.
Naunga mkono hoja, na tema sio ile sura nzuri ya ki baby face, yale macho gololi rolling eyes, zile pingili za shingo, kale kamdomo, zile dimples, hata kule kwenye yale mambo yetu yale!, huyu sii mchezo maana ni mtoto wa ki Tanga!.

Kwa Ummy Mwalimu, mimi kwanza nakiri udhaifu, kwasababu na mimi ni binadamu, hakuna mkamilifu, pia namkubali sana, na niliwahi kuuliza #COVID19 - Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

P
 
Mambo ya kawaida kabisa kwenye chama chao.kwasababu nayeye mara ya kwanza aligombea akapata wengine wakakatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…