Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

Amaposema waendelee kutoa Huduma hizo Hasara atafidia nani..
Hapo suluhisho ni kutoa hicho kitita Kwenye Utekelezaji na kufanya mazungumzo huku kikitumika cha zamani
 
Ninasema hizi wizara wapewe watu wanaojielewa,wenye uthubutu wa kusimamia mambo. Amekosa ushawishi na uthubutu. Sasa anataka vikao na watu haohao waliomgomea kwa muda mrefu. Ninasema asipojiuzulu LAZIMA atakubaliana nao au labda mamlaka za juu zimsaidie. Amechoka asaidiwe
Pumzi ishakata huyu Turudishiwe Dr Gwajima
 
Ummy Must Go..
Huyo qware ndo anayempoteza
nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi 🐒

mkurugenzi yuko wap na anafanya nini, ingefaa awe wa mwanzo zaidi kutoa muongozo kisha kukiwa na ugumu au uzito mahali ndipo sasa waziri angefaa kuja na muafaka wa kitaifa juu ya Jambo hili 🐒

vinginevyo atalazimika kuwajibika kama si kuwabishwa. Mambo haya ni kujipanga tu 🐒
 
Ninasema hizi wizara wapewe watu wanaojielewa,wenye uthubutu wa kusimamia mambo. Amekosa ushawishi na uthubutu. Sasa anataka vikao na watu haohao waliomgomea kwa muda mrefu. Ninasema asipojiuzulu LAZIMA atakubaliana nao au labda mamlaka za juu zimsaidie. Amechoka asaidiwe
Bongo mtu anakuwa sehemu kwa ajili ya tumbo wala sio utendaji. Kama ingekuwa utendaji hii sababu ilitosha kujiuzuru, maana umeshindwa kushawishi kiasi cha kuleta hatari kwenye huduma za afya. Ila jitu limekomaa tu kukaza fuvu
 
nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi 🐒

mkurugenzi yuko wap na anafanya nini, ingefaa awe wa mwanzo zaidi kutoa muongozo kisha kukiwa na ugumu au uzito mahali ndipo sasa waziri angefaa kuja na muafaka wa kitaifa juu ya Jambo hili 🐒

vinginevyo atalazimika kuwajibika kama si kuwabishwa. Mambo haya ni kujipanga tu 🐒
Waziri Ana maslahi na hii ishu Namimi ndichi ninachokiona kabisa..
Na ukienda X kule NHIF wamefunga Comments we unafikiri kwa nini?
Waziri anawapa NHIF kichwa..

Sasa mimi Naonelea kabisa n8 bora watumishi wakapewa uhuru wa kuchagua Bima ya Afya wanayoitaka
 
Huo ni mfumo mzee, kwani Nhif imeanza kuyumba kipindi cha UMMY?
BAhati mbaya imeyumba kipindi chote ambacho yeye akiwa waziri..
Kipindi cha Magu akiwa waziri ilianza kuyumba..
Sasa hivi akiwa karudishwa tena uwaziri wa afya ikaanza kuyumba..

Alipokuwa Gwajima waziri wa Afya hakukuwa na haya..
So Hii inamaanisha ummy hatoshi kusimamia NHIF
 
nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi 🐒

mkurugenzi yuko wap na anafanya nini, ingefaa awe wa mwanzo zaidi kutoa muongozo kisha kukiwa na ugumu au uzito mahali ndipo sasa waziri angefaa kuja na muafaka wa kitaifa juu ya Jambo hili 🐒

vinginevyo atalazimika kuwajibika kama si kuwabishwa. Mambo haya ni kujipanga tu 🐒
Ndio amejipanga KUSHINDWA.
 
BAhati mbaya imeyumba kipindi chote ambacho yeye akiwa waziri..
Kipindi cha Magu akiwa waziri ilianza kuyumba..
Sasa hivi akiwa karudishwa tena uwaziri wa afya ikaanza kuyumba..

Alipokuwa Gwajima waziri wa Afya hakukuwa na haya..
So Hii inamaanisha ummy hatoshi kusimamia NHIF
Mkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.

Ni mara kadhaa,NHIF iliripotiwa kushindwa kujiendesha kwa kuwa pesa inachotwa na serikali.

Kama ujuavyo,ni nadra sana waziri kupinga uamuzi wa serikali..

Ndo maana tunasema,matatizo mengi ni ya kimfumo..siyo individuals. Kama tunataka relief,tunatakiwa tu deal na mfumo mzima wa CCM.
 
Hivi ummy issue ya maduka ya dawa binafsi kuwa mita 500 kutoka kituo cha afya alishafanikisha?
 
Mkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.

Ni mara kadhaa,NHIF iliripotiwa kushindwa kujiendesha kwa kuwa pesa inachotwa na serikali.

Kama ujuavyo,ni nadra sana waziri kupinga uamuzi wa serikali..

Ndo maana tunasema,matatizo mengi ni ya kimfumo..siyo individuals. Kama tunataka relief,tunatakiwa tu deal na mfumo mzima wa CCM.
Ni kweli unachosema mkuu..
ILa ilimpasa waziri amtume Mkurugenzi wa NHIF ndo aje Hadharani..
Kitendo cha yeye kuja hadharani kinaonyesha yeye ni muhusika namba moja
 
H
Mkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.

Ni mara kadhaa,NHIF iliripotiwa kushindwa kujiendesha kwa kuwa pesa inachotwa na serikali.

Kama ujuavyo,ni nadra sana waziri kupinga uamuzi wa serikali..

Ndo maana tunasema,matatizo mengi ni ya kimfumo..siyo individuals. Kama tunataka relief,tunatakiwa tu deal na mfumo mzima wa CCM.
HAo indoviduals sisi tutapambana nao mpaka wawe wanakataa hizo teuzi, suala la mfumo ni mpaka pale wananchi wengi tuendelee kuapata athari ndo tutazinduka
 
Back
Top Bottom