DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #21
Pumzi ishakata huyu Turudishiwe Dr GwajimaNinasema hizi wizara wapewe watu wanaojielewa,wenye uthubutu wa kusimamia mambo. Amekosa ushawishi na uthubutu. Sasa anataka vikao na watu haohao waliomgomea kwa muda mrefu. Ninasema asipojiuzulu LAZIMA atakubaliana nao au labda mamlaka za juu zimsaidie. Amechoka asaidiwe
nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi πUmmy Must Go..
Huyo qware ndo anayempoteza
Bongo mtu anakuwa sehemu kwa ajili ya tumbo wala sio utendaji. Kama ingekuwa utendaji hii sababu ilitosha kujiuzuru, maana umeshindwa kushawishi kiasi cha kuleta hatari kwenye huduma za afya. Ila jitu limekomaa tu kukaza fuvuNinasema hizi wizara wapewe watu wanaojielewa,wenye uthubutu wa kusimamia mambo. Amekosa ushawishi na uthubutu. Sasa anataka vikao na watu haohao waliomgomea kwa muda mrefu. Ninasema asipojiuzulu LAZIMA atakubaliana nao au labda mamlaka za juu zimsaidie. Amechoka asaidiwe
Huo ni mfumo mzee, kwani Nhif imeanza kuyumba kipindi cha UMMY?Hapo CCM hawahusiki ni uzembe wa Ummy tu
Waziri Ana maslahi na hii ishu Namimi ndichi ninachokiona kabisa..nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi π
mkurugenzi yuko wap na anafanya nini, ingefaa awe wa mwanzo zaidi kutoa muongozo kisha kukiwa na ugumu au uzito mahali ndipo sasa waziri angefaa kuja na muafaka wa kitaifa juu ya Jambo hili π
vinginevyo atalazimika kuwajibika kama si kuwabishwa. Mambo haya ni kujipanga tu π
na mi naona kuna ka mistake kenye stake mahali wamekosea formula kidogo πHapo CCM hawahusiki ni uzembe wa Ummy tu
BAhati mbaya imeyumba kipindi chote ambacho yeye akiwa waziri..Huo ni mfumo mzee, kwani Nhif imeanza kuyumba kipindi cha UMMY?
Ndio amejipanga KUSHINDWA.nadhani ndugu waziri ingefaa awe mtu wa mwisho kuja hadharani kulisemea jambo hili unless anamaslahi π
mkurugenzi yuko wap na anafanya nini, ingefaa awe wa mwanzo zaidi kutoa muongozo kisha kukiwa na ugumu au uzito mahali ndipo sasa waziri angefaa kuja na muafaka wa kitaifa juu ya Jambo hili π
vinginevyo atalazimika kuwajibika kama si kuwabishwa. Mambo haya ni kujipanga tu π
Hapo kwenye stake na mistake yake ndio kazi ilipona mi naona kuna ka mistake kenye stake mahali wamekosea formula kidogo π
Mkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.BAhati mbaya imeyumba kipindi chote ambacho yeye akiwa waziri..
Kipindi cha Magu akiwa waziri ilianza kuyumba..
Sasa hivi akiwa karudishwa tena uwaziri wa afya ikaanza kuyumba..
Alipokuwa Gwajima waziri wa Afya hakukuwa na haya..
So Hii inamaanisha ummy hatoshi kusimamia NHIF
Ni kweli unachosema mkuu..Mkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.
Ni mara kadhaa,NHIF iliripotiwa kushindwa kujiendesha kwa kuwa pesa inachotwa na serikali.
Kama ujuavyo,ni nadra sana waziri kupinga uamuzi wa serikali..
Ndo maana tunasema,matatizo mengi ni ya kimfumo..siyo individuals. Kama tunataka relief,tunatakiwa tu deal na mfumo mzima wa CCM.
HAo indoviduals sisi tutapambana nao mpaka wawe wanakataa hizo teuzi, suala la mfumo ni mpaka pale wananchi wengi tuendelee kuapata athari ndo tutazindukaMkuu,nakuheshimu sana kupitia hoja mbalimbali unazoweka hapa. Ila kwa hili naomba tujikite kwenye hoja ya mzizi wa tatizo,badala ya kujikita na matokeo.
Ni mara kadhaa,NHIF iliripotiwa kushindwa kujiendesha kwa kuwa pesa inachotwa na serikali.
Kama ujuavyo,ni nadra sana waziri kupinga uamuzi wa serikali..
Ndo maana tunasema,matatizo mengi ni ya kimfumo..siyo individuals. Kama tunataka relief,tunatakiwa tu deal na mfumo mzima wa CCM.
Wizara imekushinda!
Ni kweli, mwendazake alichota pesa nyingi sana za NHIF tena bila huruma! CCM ni genge la wezi tu!Hapo CCM hawahusiki ni uzembe wa Ummy tu