LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kumbe ruksa kutangaza eeeh, kuna Rafiki yangu mkubwa anataka kugombea Dodoma mjini. Ngoja naye nimwambie ajimwage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe huwa anajenga kwa pesa zake?Hizo hospitali, zahanati na vituo vyaa afya kajenga kwa pesa zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana. Atashinda kwa kishindoWaziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamchagua Mbowe....Hai pamemshinda hawamtakiMjinga sana hakuna mtu wakuchagua mzigo
Duniani kuna vitu vitamu sana. Umenikumbusha Tanga Tech enzi za S.M. Tetty na kucheza Disco Korogwe Girls.
Unashangaa zile round/bangiliYaani kwakweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi nikikutanagq na picha yake uwa naangalia shingo yake zaidi ya dk 10
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera sana waziri Ummy, mwanamke akiwezeshwa anaweza, wewe ni mwanamke unajua umuhimu wa hospitali kwa wanawake, wagonjwa wanao kuja hospitalini kwa kila siku wengi ni wanawake na wototo, lakini pia jaribu kuwa hodari kutangaza hali halisi ya corona Tanzania bila kujali amri toka juu ili uwe shujaa zaidi, nafasi unayo na umepewa itumie ili utoke.Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatoboa?Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena anyamaze ameleta Corona alafu anataka ubunge, angoje wa kuteuliaa labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya nini korona?Bad timing anatumia mbeleko ya corona
Ni mapema sana kujisifia kwa kazi alizozifanya. Kati ya Leo mpaka Baraza la mawaziri litakapovunjwa kuna muda mrefu sana hapa katikati, lolote linaweza kutokea.Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mwanaFA!Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga huchagua yoyote!Mjinga sana hakuna mtu wakuchagua mzigo