Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Muda wa kutangaza NIA kwa CCM UMEFIKA?

Mzee Mangula jitokeze UWAKEMEE.

Huyo Mangula mwenyewe saa hii anaweza hata kuongea? Saa hii anapambana ili Isirail asiitoe roho yake.
 
Sisi wabongo hatupo vizuri kuchangamkia vitu into details, umeona keshasema "amejenga hospital na vituo vya afya nchi nzima". Kwa sisi watanzania that's more than enough kumpa ubunge, hatutakagi shida sisi. Terrible!!
 
Huu siyo wakati wa kujinadi kugombea ubunge ndugu waziri wa afya. Mi ccm shida.
 
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.

Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .

Sent using Jamii Forums mobile app
Not the right time for that

Especially tukiwa kwenye janga la covid
 
Back
Top Bottom