Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Kajenga yeye au ni fedha za walipa kodi wa Tanzania?
 
Hongera sana Mh Ummy
Dada Ummy ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wa rika zote
 
Sisi wabongo hatupo vizuri kuchangamkia vitu into details, umeona keshasema "amejenga hospital na vituo vya afya nchi nzima". Kwa sisi watanzania that's more than enough kumpa ubunge, hatutakagi shida sisi. Terrible!!
Ahh jmn mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Viwango vya uchapakazi wa Ummy ni vya kubezwa kweli?
 
Mtoto wetu wa Kitanga, Tumemlea wenyewe, Tumemkuza wenyewe, Tumemjenga wenyewe, Chaguo letu wenyewe, Sasa Tunamtuma Wenyewe akatuwakilishee Bungeni kwa mustakabali wa Maendeleo Ya Wana Tanga. #TUKUTANEKWENYEKUCHUKUAFOMU[emoji108]
#2020TangaYaUmmy
#BegaKwaBegaNaUmmy
#TangaYaKijani [emoji172]
IMG_20200713_092422_569.jpeg
 
Mtoto wetu wa Kitanga, Tumemlea wenyewe, Tumemkuza wenyewe, Tumemjenga wenyewe, Chaguo letu wenyewe, Sasa Tunamtuma Wenyewe akatuwakilishee Bungeni kwa mustakabali wa Maendeleo Ya Wana Tanga. #TUKUTANEKWENYEKUCHUKUAFOMU[emoji108]
#2020TangaYaUmmy
#BegaKwaBegaNaUmmy
#TangaYaKijani [emoji172]View attachment 1505285
Aliyashinda mno machadema.
 
Back
Top Bottom