yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Kwanini asigombee chato??Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app